CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Kabisa , na hapo ujagusia watu wasio na ajira wala fursa zozote za kiuchumi + wavuja jasho , wasakatonge mamilioni wanaovvuja jasho kwa kufanya kazi ngumu na hatarishi ,zinazotweza utu na za ujira mdogo usioendana na hali ya maisha.

Hii ndio Tanzania ambayo huyo mpuuzi mtoa mada anataka kuwaambia watanzania waishukuru ccm kwa kuiendeleza mpaka tulipofika hapa.
 
Kwanza kabisa ili tujadiliane lugha za matusi hazitakiwi sio busara wadogo zangu
 
Unaongea kisiasa au kama msomi
Naongea kama mwananchi mwenye AKILI timamu,

Si MSOMI Wala Mwanasiasa, ila nafuatilia siasa, maana siasa ndo Kila kitu,

Kupata maji ni Siasa, biashara ni Siasa, uvuvi inahusika siasa, KILIMO ni Siasa nk nk.

Angalizo. AKILI mtu alizaliwa nayo, bt ELIMU mtu ameikuta Duniani.
 
Changia hoja kisomi sio kwa jazba na matusi mdogo wangu.Karibu
 
Karibu sana kuchangia mafanikio na changamoto ambazo serikali inapambana nazo.Karibu
 
Unachangia kisomi au kwa mihemuko ya kisiasa??
 
Karibu sana kuchangia mafanikio na changamoto ambazo serikali inapambana nazo.Karibu
Darasa la nane mwaka 1980 aliweza kujitambua na alijua mambo yote muhimu kuhusu shule,

Saiz mhitimu wa chuo kikuu hajui kuandika BARUA ya maombi ya KAZI Kwa ufasaha.

Kama gari linarudi nyuma Badala ya kusonga mbele, utaiita hiyo ni safari?
 
But Kamanda Kama ulipost kutest upepo tarajia Zaid ya hayo.
Wanakuja wehu ...kikubwa kaza roho Pot.
Hapana sijatest na sisi wasomi tunaamini katika hoja sio matusi au huo wehu unaoutaja.Karibuni sana tuendelee wasomi
 
Darasa la nane mwaka 1980 aliweza kujitambua na alijua mambo yote muhimu kuhusu shule,

Saiz mhitimu wa chuo kikuu hajui kuandika BARUA ya maombi ya KAZI Kwa ufasaha.

Kama gari linarudi nyuma Badala ya kusonga mbele, utaiita hiyo ni safari?
Sasa hilo kiusomi ni kosa la nani zaidi???Msomi husika au serikali ndugu???
 
Kwa yanayoendelea kwenye hoi nchi, akitokea mtu kuniambia eti CCM inatakiwa kupongezwa, napata mashaka kuhusu afya yake ya akili.

Ni "chawa" pekee ndio wanaweza kua na huo ujasiri.
 
Kwa yanayoendelea kwenye hoi nchi, akitokea mtu kuniambia eti CCM inatakiwa kupongezwa, napata mashaka kuhusu afya yake ya akili.

Ni "chawa" pekee ndio wanaweza kua na huo ujasiri.
Samahani mkuu neno chawa unamaanisha nini??
 
Kwa yanayoendelea kwenye hoi nchi, akitokea mtu kuniambia eti CCM inatakiwa kupongezwa, napata mashaka kuhusu afya yake ya akili.

Ni "chawa" pekee ndio wanaweza kua na huo ujasiri.
Huyo mleta uzi ni team sukuma gang hivyo inabidi umsamehe tu maana ashapigika vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…