Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #181
Upo serious kweli kwenye kuchangia??Sensa na kukumbiza mwenge nchi nzima bila kuchoka muda wote mliokuwa madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo serious kweli kwenye kuchangia??Sensa na kukumbiza mwenge nchi nzima bila kuchoka muda wote mliokuwa madarakani.
Achana na kada wa CCM. Mambo chimama anaendeleaje??Wamekutuma waambie umefikisha ujumbe.
Mkuu hivyo nilivyotajwa havijafanywa na CCM kwa ufanisi?Upo serious kweli kwenye kuchangia??
Ni kweli sio uongoo hadi Leo tunaumeme wa rea isitoshe tunategemea mvua inyeshe ndio umeme usikatike.Sensa na kukumbiza mwenge nchi nzima bila kuchoka muda wote mliokuwa madarakani.
Tangu Kuzaliwa kwako uliwahi sikia " WANANCHI WENYE HASIRA KALI" wamefanya tukio Mahali na wakashtakiwa popote,Kuna haki na kuna sheria na vyote vina utaratibu wake mdau.Au nakosea?????Haki bila kufuata sheria ni vurugu.Au nakosea
Nani alikudanganya tulikuwa wa tatu kwa umasikini? Mtu mzima unasikiliza habari za kwenye vijiwe na kuziamini.Tanzania kutoka kuwa ya tatu kutoka mwisho kwa nchi masikini kabisa Duniani, mpaka kuwa kwenye top Ten ya nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika sio jambo la kitoto... Ni hatua kubwa sana. Wamarekani wanaita a Giant Leap.
Unazungumzia CCM au serikali ya CCMMkuu hivyo nilivyotajwa havijafanywa na CCM kwa ufanisi?
Ebu tufafanulie vizuri zaidiTangu Kuzaliwa kwako uliwahi sikia " WANANCHI WENYE HASIRA KALI" wamefanya tukio Mahali na wakashtakiwa popote,
Umma wa Watanzania upo juu ya SHERIA,
Wao ndo walioanzisha Serikali na Katiba iliyopo.
CCM na sirikali imepewa dhamana na UMMA Kwa muda, wakitaka kubadilisha, hayupo wa kuwazuia.
Karibi uchangie.Karibu sanaNi kweli sio uongoo hadi Leo tunaumeme wa rea isitoshe tunategemea mvua inyeshe ndio umeme usikatike .
Tunagesi ila inaenda Kenya , Uganda badala ya kuweka umeme wa gesi tuishi Kwa Amani .
Nimechoka
Haya unaongea kisomi au kisiasa kimihemuko zaidi??Ukitaka kujua CCM Haina maono,
Wanadai kupanda Bei za Bidhaa na vyakula tatizo ni vita ya Urusi na Ukraine,
Burundi wameanzisha kiwanda Cha kuzalisha mbolea Pale Dodoma,
Tanzania inakosa raslimali ipi kufadhili wafanyibiashara wa ndani kuanzisha viwanda vya ndani kuzalisha mbolea,
Vita Ile haiishi Leo Wala kesho, ndo kwanza zitazuka vita zingine,
Tutakuwa tegemezi kama Nchi Hadi lini?
Kwann Hadi Leo Nchi haijitoshelezi Kwa chakula?
CCM must die, to make Tanzanians survive.
Serikali na CCM huwa zinatumika interchangeably.Unazungumzia CCM au serikali ya CCM
Ungeendelea zaidi kufafanua na tunathamini maoni yako.Lakini ningependa nikuulize kituSerikali na CCM huwa zinatumika interchangeably.
Mnajilinganisha na chama Gani kwani. Kwani Kuna chama kimeshawahi ongoza nch hiiKwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Umetoka nje kidogo ya mada.Au labda sijakuelewa.KaribuMnajilinganisha na chama Gani kwani. Kwani Kuna chama kimeshawahi ongoza nch hii
Pongezi huwa haiombwi.Hutolewa kadiri ya kiasi alichoridhika na kukubali mtu.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Umeelewa mada lakini mkuuPongezi huwa haiombwi.Hutolewa kadiri ya kiasi alichoridhika na kukubali mtu.
Kwamba CCM inahitaji pongezi na vijana wanatakiwa kuelimishwa.Au kuna la ziada ulilolifuta?Umeelewa mada lakini mkuu
Ndio chama chenye katiba bora zaidi kichama.Kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki na kati
Upo sahii kaka.Karibu uchangieKwamba CCM inahitaji pongezi na vijana wanatakiwa kuelimishwa.Au kuna la ziada ulilolifuta?