CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Ukitaka kujua CCM Haina maono,

Wanadai kupanda Bei za Bidhaa na vyakula tatizo ni vita ya Urusi na Ukraine,

Burundi wameanzisha kiwanda Cha kuzalisha mbolea Pale Dodoma,

Tanzania inakosa raslimali ipi kufadhili wafanyibiashara wa ndani kuanzisha viwanda vya ndani kuzalisha mbolea,

Vita Ile haiishi Leo Wala kesho, ndo kwanza zitazuka vita zingine,

Tutakuwa tegemezi kama Nchi Hadi lini?

Kwann Hadi Leo Nchi haijitoshelezi Kwa chakula?

CCM must die, to make Tanzanians survive.
 
Sensa na kukumbiza mwenge nchi nzima bila kuchoka muda wote mliokuwa madarakani.
Ni kweli sio uongoo hadi Leo tunaumeme wa rea isitoshe tunategemea mvua inyeshe ndio umeme usikatike.

Tunagesi ila inaenda Kenya , Uganda badala ya kuweka umeme wa gesi tuishi Kwa Amani.

Nimechoka
 
Kuna haki na kuna sheria na vyote vina utaratibu wake mdau.Au nakosea?????Haki bila kufuata sheria ni vurugu.Au nakosea
Tangu Kuzaliwa kwako uliwahi sikia " WANANCHI WENYE HASIRA KALI" wamefanya tukio Mahali na wakashtakiwa popote,

Umma wa Watanzania upo juu ya SHERIA,

Wao ndo walioanzisha Serikali na Katiba iliyopo.

CCM na sirikali imepewa dhamana na UMMA Kwa muda, wakitaka kubadilisha, hayupo wa kuwazuia.
 
Tanzania kutoka kuwa ya tatu kutoka mwisho kwa nchi masikini kabisa Duniani, mpaka kuwa kwenye top Ten ya nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika sio jambo la kitoto... Ni hatua kubwa sana. Wamarekani wanaita a Giant Leap.
Nani alikudanganya tulikuwa wa tatu kwa umasikini? Mtu mzima unasikiliza habari za kwenye vijiwe na kuziamini.
 
Tangu Kuzaliwa kwako uliwahi sikia " WANANCHI WENYE HASIRA KALI" wamefanya tukio Mahali na wakashtakiwa popote,

Umma wa Watanzania upo juu ya SHERIA,

Wao ndo walioanzisha Serikali na Katiba iliyopo.

CCM na sirikali imepewa dhamana na UMMA Kwa muda, wakitaka kubadilisha, hayupo wa kuwazuia.
Ebu tufafanulie vizuri zaidi
 
Ukitaka kujua CCM Haina maono,

Wanadai kupanda Bei za Bidhaa na vyakula tatizo ni vita ya Urusi na Ukraine,

Burundi wameanzisha kiwanda Cha kuzalisha mbolea Pale Dodoma,

Tanzania inakosa raslimali ipi kufadhili wafanyibiashara wa ndani kuanzisha viwanda vya ndani kuzalisha mbolea,

Vita Ile haiishi Leo Wala kesho, ndo kwanza zitazuka vita zingine,

Tutakuwa tegemezi kama Nchi Hadi lini?

Kwann Hadi Leo Nchi haijitoshelezi Kwa chakula?

CCM must die, to make Tanzanians survive.
Haya unaongea kisomi au kisiasa kimihemuko zaidi??
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mnajilinganisha na chama Gani kwani. Kwani Kuna chama kimeshawahi ongoza nch hii
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Pongezi huwa haiombwi.Hutolewa kadiri ya kiasi alichoridhika na kukubali mtu.
 
Back
Top Bottom