CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje?

Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess?

Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi.

[emoji116]
View attachment 2512762
Waziri wenu huyo bwana Nape na Jabiri ....yaani katika vyooote wameona mambo ya uchi ndio tatizo....
 
Waache watu watoe stress zao,hivi kesi za ubakaji zikianza kuongezeka itakuwaje?
 
Back
Top Bottom