Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anataka kuwateka wasukuma?Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Maisha ya binadamu yanaendeshwa kwa matukio.Wachambuzi uchwara ni hatari kweli kweli, kabla ya Biteko kuwa DPM alikuwa hazungumziwi kwa lolote ila kila siku anatajwa utafikiri ni mtu mpya
Huyo anaandaliwa kuchukua nafasi ya kassimuInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Hana sababu ya kuondolewa, impact yake ishapunguzwa... so ataachwa amalize kwa amani...Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
Nani alikwambia kuwa ccm kuna mtu anaumiza akili zake kwa mambo ya utawala?ni sawa lakini wako kwenye panic mode kwa sasa, angalia mawaziri wamekuja na strategies zile zile za 2015-2020
Huyo 2025 ndiyo anapewa bye bye [emoji112]Hana sababu ya kuondolewa, impact yake ishapunguzwa... so ataachwa amalize kwa amani...
Bila mapinduzi ya kijeshi ccm haitatoka madarakani.du unawaza mapinduzi tena,God Forbid
Dr Mpango vipi? Hatoshi!!Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Yeye aendelee na uwaziri wa fedha tuDr Mpango vipi? Hatoshi!!
Hii taarifa inapeleka homa ya tumbo kwa MadeluInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Maderu kashajiandalia maisha ya kumtoa maana njia ya singida kaishika yeye na EsterHii taarifa inapeleka homa ya tumbo kwa Madelu
KwiiiiishaaaaaSukuma gang wameshaiteka nchi, ona kilichomkumba membe
Kutembelea ofisi za umma Kwa kutumia lugha eti kushtukiza ๐๐๐ wakati na waandishi wapo yaani Slaa ........ukishtukiza inabidi waandishi wafike ulishaondoka.....ni kushtukiza gani wakati media zinastream liveni sawa lakini wako kwenye panic mode kwa sasa, angalia mawaziri wamekuja na strategies zile zile za 2015-2020
Mara nyingi mwivi haachi hadi ahakikishe kafilisi watu wengi....Maderu kashajiandalia maisha ya kumtoa maana njia ya singida kaishika yeye na Ester
Kwani Kanda ya ziwa ndiyo wanapiga kura pekee yao?Tumeshawajua wanataka kura za Kanda ya ziwa.Kama wanazitaka basi Dotto agombee kabisa Urais na si awe mgombea mwenza.
Akagombee ubunge buhingwe๐๐๐na filipo mpango atampeleka wapi
Atafirisi lkn ajue kuwa jinai haina mwishoMara nyingi mwivi haachi hadi ahakikishe kafilisi watu wengi....