Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Wa - Tanganyika tutakuwa hatuna akili kabisa kama bado tutaendelea kuruhusu raia wa kigeni toka nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar kutawala nchini kwetu..!!Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
nadhani hata wakimweka mwijaku kua mgombea mwenza watapeta tu kibaraka hakuna kitu atapataInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
kanda ya ziwa hakuna atakae ipigia ccm kura.Katika harakati za kutafuta kura za kanda ya ziwa sio.
White paper will shake the nation. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Biteka ni mbegu ya Mwendazake, hivyo ccm wanachofanya wanawaambia wananchi tumewaletea kijana mwaminifu wa Mwendazake.Biteka ni mtu mdogo sana Kanda ya ziwa hatambuliki zaidi ya Bukombe ambako nako wanamwota Mtusi
Hiyo ndiyo point. Halafu watu wakumbuke kuwa Samia anataka uchaguzi uwe huru Kwa kiasi fulani hivyo anahitaji mtu atakayevuta hisia za watu na kuhalalisha "ushindi" hata kama ni wa Magumashi.Biteka ni mbegu ya Mwendazake, hivyo ccm wanachofanya wanawaambia wananchi tumewaletea kijana mwaminifu wa Mwendazake.
Kwann chadema hamtii sheria.?ccm mapumbavu yamemkamata lissu kipumbavu na yamemuachia kwa upumbavu wake.
Kwani Kuna tatizo? Acha kumgombanisha Biteko na MpangoInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Kwani yeye ndio anauza na kuzalisha mafuta?Ni jambo jema
Lakini ashushe kwanza bei ya Mafuta
Katiba Mpya ndio itafanya kusiwe na mbinu ya kuteka Kanda ya Ziwa? UjingaHizo Ni mbinu za kuteka kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi.
Serikali ifanye marekebisho ya Katiba ya JMT au ilete katiba mpya, kwanza.
-Huu utaratibu wa kupanga safu ya uongozi siyo sahihi.Wananchi wote bila kujali vyama wachague viongozi wao ikiwa pamoja na magavana wa mikoa yao na wabunge wasiwe mawaziri.
-Rais apunguziwe Mamlaka ya kuteua Watendaji wa taasisi mbalimbali,sasa hata wakurugenzi ambao ni professional wanachaguliwa kisiasa
Acha uzushi wewe. Yaani kusema kuwa Biteko anatarajiwa kuwa Mgombea mwenza ndiyo kumgombanisha na Mpango?Kwani Kuna tatizo? Acha kumgombanisha Biteko na Mpango
Biteko ni geresha tu ili watu wamalizie hasira huko, mhusika wa uPM ni mkwe ndo maana anapitia wizara nyeti husika ili akiibuka tu inakua too late kumrushia madongo.Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
makamo cyo na filipo jeInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Itajulikana mbele ya safari.makamo cyo na filipo je
Atagombea yaani and andaa malimao mwendo ni mpaka 2030.Nani kakwambia atagombea?
HATOGOMBEA!!
Watanzania tuna safari ndefu sana...Atagombea yaani and andaa malimao mwendo ni mpaka 2030.