Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,655
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.

Ndio mbunge wa kawe huyo, kubali kataa! Mdee akatatute mume tu..
 
Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.

Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Gwajima bado sana.....Mkuu atalala hoi bila sababu....Gwajima ni kimeo sijui kwa nini walimpitisha..nahisi wamemfanyia makusudi
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Wanasafisha nguruwe pori.
 
Gwajima ni Oil chafu
 
Hotuma ya leo imeleta matumaini makubwa sana !
Hizi ndio akili zetu watu weusi!!!yaani unakaa unaamini kabisa hotuba ya mwanasiasa aliepo madarakani,ambae kwenye utawala wake,watu wamepotea,watu

Wametekwa,watu wamekufa na kufungwa kwenye viroba!! Watumishi miaka mitano hakuna kupanda mishahara,watu wamebomolewa nyumba bila fidia,hakuna ajira miaka mitano,ukabila na upendeleo wa wazi,matamshi ya chuki kutoka kwa Kiongozi wa nchi,wahanga wa tetemeko kutopewa michango wala msaada wowote na matusi juu!!watu kupigwa risasi hadharani mchana kweupe!!leo unasema hotuba imeleta matumaini!! Kasha kweli wewe!!

Kawaulize wakulima wa korosho uko mtwara walivyo dhulumiwa korosho,waulize wakulima wa mbaazi jinsi soko lilivyo poromoka miaka hii mitano,waulize wakulima wa pamba,kahawa, jinsi bei zilivyoporomoka!! Waulize wafanyabiashara biashara zilivyokuwa ngumu kwa kupandishiwa makadilio na mamlaka za kodi,watakao mchagua Magufuli wakapimwe tezi dume!!
 
Gwajima bado sana.....Mkuu atalala hoi bila sababu....Gwajima ni kimeo sijui kwa nini walimpitisha..nahisi wamemfanyia makusudi
Ile kauli yake kwamba watashinda kabla ya sadaka ya kwanza ilimfurahisha mnoooooooo Jiwe mpaka akamkata mtoto wa dada🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom