Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Nyingine hii
 
Kwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengine
Gwajima kawe anatoshaa
 
Sisi wakatoliki bado tuna Jambo letu juu ya huyu 'pornstar' !
Screenshot_20200928-144727_1601300779315.jpg
 
Kwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengine
Gwajima kawe anatoshaa
Hata 'matapeli' huwa wanatumia akili wanapotapeli lakini kwa bahati mbaya na yenye 'kimavi' kwa huyo gwajiboy the pornstar ni kuwa kaingia kutapeli kwa watu 'smart' na mpaka sasa joto ya Jiwe anaipata kimyakimya'!
 
Kwa kupindua meza kama kawaida.
Mtu mwenye morals na akili hawezi kumchagua Gwajima.
Na hata yeye Rais kwa kutetea kwake uovu hapati kura za kutosha particularly Dar...hilo nakuambia
Nakubaliana na wewe, kama watoto wanachukia somo hawatampenda mwalimu wake.
Mgombea angekwepa kiana kumpayusha huyu mtu aliyekaliwa.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye dini kila mmoja anaona kwake ni sahahi hata Waislamu wengi wanatamani Dunia zima iwe waislamu wakatolik pia ni hvyohvyo so Gwajima hajakosea ktu maana aliyasema hayo wakati Yuko katika Dini kila mmoja anaamini kivyake na anapopaamini anaona ndo sawa kuliko kwa mwenzake so muache hii tabia ya kuchochea ujinga Dini ni Dini na siasa ni siasa
 
Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.

Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Lugha ya ushawishi kama ya mbelgiji au nani?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.

Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Kama wapinzan hawaogop kushindwa kwanin wanatumia mda mwingi kumchafua Gwajima na kumsema vibaya kuliko hata kunadi sera zao yan kila mahali ni Gwajima Gwajima inaonyesha ni jinsi gani Gwajima anawanyima Usingizi Hasa Halima mdeee Gwajima oyeeee
 
..Gwajima hawezi kusafishika kwa kauli alizotoa dhidi ya Waislamu.

..Hata akiomba radhi hawezi kuaminika, labda aamue kusilimu.
 
Kama wapinzan hawaogop kushindwa kwanin wanatumia mda mwingi kumchafua Gwajima na kumsema vibaya kuliko hata kunadi sera zao yan kila mahali ni Gwajima Gwajima inaonyesha ni jinsi gani Gwajima anawanyima Usingizi Hasa Halima mdeee Gwajima oyeeee
Wewe ni zezeta......ingia u tube utamjua Gwajima ni nani...hao wapinzani wala usiwaingize.
Huu uzi wapo watu heavyweight nenda sehemu nyingine
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
 
Yanafaa nini hayo machache aliyofanya kwa kodi zetu ikiwa watu wanateseka kwa madhila mabaya anayowatendea!!uwezi kunywea maziwa kwenye kopo la chooni!!

Ngoja tuone wananchi watakavyoamua kupitia sanduku la kura kama watakuwa wako well infomed .

Off course Campaign ya safari hii inaonekana kuwa Na awareness kubwa ukilinganisha na awamu zilizopita.

Wapigakura wengi wako mitaani na mikoani!

Wapigakura wengi hawana simu kabisa na wakiwa nazo siyo simu janja!

Wapigakura wengi kutokana na umaskini hawana hata redio za kuwapa taarifa mbali mbali!

Sijui ngoja tuone mwitikio wa wapigakura kupitia sanduku la kura hatimae matokeo yatavyokuwa!
 
Bishop. Gwajima atamtoa knockout yule Bi. Kidude. Kawe itapaa kwa maendeleo, ni mtu mkweli, mwenye uthubutu, mwenye expose ya hali ya juu.
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom