Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
Umeshupaza shingo kwa ajili ya Gwajima.Unaweza unakomaa pengine hata kupiga kura kawe haumo.Ss wakazi wa kawe nikiwa na mlolongo wa familia yangu jirani zangu hapa ukwamani zaidi ya 50 tunasema Gwajima Big NO.kamuapishe unayemjua wewe.
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Hebu muone hapa..hovyo kweli haka kamtu..mnafique kuliko unafique wenyewe
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.

View attachment 1600665
Hafai kuwa kiongozi hata kidogo kama ambaye aliyemteua naye hafai
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Kama wapinzan hawaogop kushindwa kwanin wanatumia mda mwingi kumchafua Gwajima na kumsema vibaya kuliko hata kunadi sera zao yan kila mahali ni Gwajima Gwajima inaonyesha ni jinsi gani Gwajima anawanyima Usingizi Hasa Halima mdeee Gwajima oyeeee
Unawezaje kumchafua mtu ambae ametengeneza na kusambaza mkanda wake wa ngono?

Nyerere angekuwa hai CCM isingemgusa Gwajima hata kwa mlingoti wa futi 10.
 
Wagombea wa CCM majimbo ya mkoa wa DSM wapo wengi lakini husuda kali imesimama kwa Gwajima tu.

Mngejikita katika kunadi sera za Upinzani lakini ajabu ni kwamba Halima hana jipya!

Sera hamna mmebaki na propaganda chafu zidi ya Gwajima ambazo hazita wasaidia!

Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.

View attachment 1600665
Nilichogundua nikuwa sio Kweli kwamba Gwajima alikuwa mtu sahii Sana kawe kuliko hao wenzake ila alichokifanya magufuli nikumpa Gwajima nafasi kwahofu yaambacho kingetoa kwawale wawili furaha au mwenzake lakn kumbe kwahil ndio kajimba kabsa kaburi la CCM.aliogopa kumpa furaha kwakuhc ingetumika propaganda ya mtoto wadada, Kama ambavyo baadhi viongozi miaka ya nyuma walivyotekaga walipo simamisha ndugu zao kwenye uchaguzi.

Alkin aliogopa kumpa mtu wapili kwakuhc ana umaalufu wakumtoa mdee lakn pia Gwajima ata lalamika kuona Haki aijatendeka.mwisho akampa Gwajima kwasababu ya umaalufu wake,kosa moja alilo lisahau nkuwa pamoja nakua Gwajima nmaarufu ila umaalufu wake Sasa unaharufu mbaya yenye uvundo waudini,ukabila,naumalaya.

Sasa inabidi leo itumike Nguvu kubwa kumsafisha wanasahau duniani hakuna sabuni yakufuta ubaguzi.Nidhahili kuwa Vijana wengi waumu wanacoment aidha kwakufurahsha maboc wao au kwaunafki wakulidhisha nafsi zao ila ukweli nikuwa nirahisi mbunge wachato kutoka upinzani,kuliko Gwajima kuwa mbunge wakawe.mwenye akili atakuwa amenielewa......,

Kama umefatilia vizuri leo Gwajima ndio mtu pekee anae nadiwa Sana kwaccm yapombe kuliko wagombea ubunge wote tz tena kwenye maeneo yenye upinzani mkubwa,Kama mbeya,Arusha,Tarime,bunda, Nyamagana.Je umajiulza kwann?.Jibu nirahisi tu kuwa Gwajima hawez toboa kawe
 
Kwa hiyo nyie sera hamna mmebaki kumchafua Gwajima tu!

Halima aseme kama ana jipya gani ambalo ndani ya miaka 10 ameshindwa kulifanyia kazi.
 
Ndio mbunge wa kawe huyo, kubali kataa! Mdee akatatute mume tu..
Kawe hakuna misukule na machizi, CCM mnaumbuka asubuhi na mapema na Gwajima wenu. Hakuna hata MwanaCCM mwenye akili timamu atampigia kura Gwajima.

Hili hata Gwajima analifahamu. Huyo Mwenyekiti wa CCM kama anampenda sana Gwajima amfanye kuwa Katibu wake.
 
Kwa hiyo nyie sera hamna mmebaki kumchafua Gwajima tu!

Halima aseme kama ana jipya gani ambalo ndani ya miaka 10 ameshindwa kulifanyia kazi.
Wewe una jipya gani ulilofanya nyumbani kwenu ndani ya miaka 10?
 
Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.

Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Ushawishi unaendana na matumizi mazuri ya akili. Bwana yule mtoto si riziki
 
Back
Top Bottom