Aliwasaidiaje UKAWA? Alipojiafanya mtoa mapepo wa mke wa Dk. Slaa?Alipowasaidia UKAWA alikuwa lulu Leo kawa kimeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwasaidiaje UKAWA? Alipojiafanya mtoa mapepo wa mke wa Dk. Slaa?Alipowasaidia UKAWA alikuwa lulu Leo kawa kimeo?
Nileteeeni GwajimaaaaaaYote tisa lakini kumi Gwajima ndiye anayefaa kuwawakilisha wananchi wa Kawe bungeni!
Mara akishatangazwa mshindi ndani ya miezi michache tu tofauti na value addition itaanza kuonekana jimboni kwa wananchi!
Bahati imekuja hii tuipokee na kuiunga mkono na siyo kuipiga mateke!
Hata mtangaza matokeo hatashawishika kufoji kura za Gwajima!Ndiyo maana anasema nileteeni Gwajima akiwa na maana kuwa yeye tayari kapita kwa kuwa anauhakika na Mahela na team yake .....!!
Hakika!Nazi huwezi ukaimenya na kucha kama chenza
Unahitaji msaada wa kiroho. Kama za Gwajima kwako ni nguvu, haishangazi wewe ni msukule!
MWENYE REHEMA NA NEEMA HAWEZI KUWEKEZA IMANI YAKE KWA GWAJIMA! MISUKULE MKO WACHACHE MNO, MNAPIGWA MAPEMA TU. NA CCM WOTE WENYE AKILI TIMAMU WAMEISHAMFUTA MAPEMA HUYO TAPELI...Siwezi kuwa vile unaweza kuzani bali niko vile nilivyo kwa kadiri ya rehema na neeema za Mungu zinavyoachiliwa kwangu kila siku asubuhi!
Gwajima hazuiliki.
Yeye tayari kura zimepigwaUbabe Ubabe tu.. Mgombea wa CCM tunasikia yeye hajiombei kula bali Wagembea wake wa Ubunge na udiwani ndio uwaombea...Kama ni Kweli hii imekaaje??
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
View attachment 1600665
Wananchi wa wapi wameamua? hakuna mwananchi wa kuamua kumpigia kura Gwajima labda muibe kura atakuwa Mchungaji mwizi wa kuraPunguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
MWENYE REHEMA NA NEEMA HAWEZI KUWEKEZA IMANI YAKE KWA GWAJIMA! MISUKULE MKO WACHACHE MNO, MNAPIGWA MAPEMA TU. NA CCM WOTE WENYE AKILI TIMAMU WAMEISHAMFUTA MAPEMA HUYO TAPELI...
Kama hujui kuwa Gwajima ni tapeli, basi upo Dar es Salaam kwa bahati mbaya! Gwajima hashindi, na mkimshindisha mtabaki midomo wazi. Kama mnafikiri wananchi ni wajinga, safari hii mtajua kumbe mlikuwa mnajidanganya. Kawe hatuwezi kuongozwa na TAPELI. Tumewaambia Kawe hatuishi Misukule, Pumbav!Usiemtaka anakuja , jipange kumpokea!
Gwajima hazuiliki!
Hakuna namna Halima anaweza kufaa tena!
Mmefilisika kwa hoja mmekazana kutumia nguvu kubwa kuonesha kuwa Gwajima ni tapeli nikikuuliza utapeli wake ni upi kwa mfano?
Je unaweza kuuthibitisha?
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
View attachment 1600665
Mpaka mtu anarukwa akili si mchezoMbona inaumika nguvu kubwa sana!!
Kama hujui kuwa Gwajima ni tapeli, basi upo Dar es Salaam kwa bahati mbaya! Gwajima hashindi, na mkimshindisha mtabaki midomo wazi. Kama mnafikiri wananchi ni wajinga, safari hii mtajua kumbe mlikuwa mnajidanganya. Kawe hatuwezi kuongozwa na TAPELI. Tumewaambia Kawe hatuishi Misukule, Pumbav!