Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Tarehe 28-10-2020 siyo mbali wacha tusiandikie mate wakati wino upo !

Gwajima hazuiliki.
KAWE HAWAISHI MISUKULE, HAKUNA KURA ZA GWAJIMA KAWE..hili la kusema subiri 28/10/2020 endeleeni kuliwazana mkitegemea Tume, mtakimbia huku mmeshikilia pich..pumbav. zenu!
 
Tarehe 28-10-2020 siyo mbali wacha tusiandikie mate wakati wino upo !

Gwajima hazuiliki.
AKWILINE
Alfonso mawazo
Ben Sanane
Anzori gwanda
Nani kawauwa hawa ???? Ukiwa Ccm unakuwa muuaji na shetani
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
KAWE HAWAISHI MISUKULE, HAKUNA KURA ZA GWAJIMA KAWE..hili la kusema subiri 28/10/2020 endeleeni kuliwazana mkitegemea Tume, mtakimbia huku mmeshikilia pich..pumbav. zenu!

Chabusalu nikwambie ukweli kwa hali iliyopo Safari hii Halima hana ile amshaamsha ya kama awamu zilizopita,

Hivyo uwezekano wa kupitwa na Gwajima kwa kura nyingi sana ni mkubwa sana.

Yani Gwajima atashinda kwa haki kabisa bila uchakachuaji wowote wa sanduku la kura.

Nakushauri fuatilia uone Halima Campaign zake hazina amshaamsha kabisa ukilinganisha na awamu zilizopita.

Mimi binafsi siungi mkono swala la wizi wa kura kama inavyosemekana kuweza kufanyika!

Namshauri Gwajima asimamie haki maana Mungu anapendezwa na Haki na anachukizwa na udhalimu.

Bora kumuogopa Mwenyezi Mungu kwa kukubali matokeo yenye ukweli na Haki.
 
Sasa jikiteni katika kunadi sera zenu tuzijue kama mtakuwa na jipya.

Kumchafua Gwajima haisaidii kitakachowasaidia ni kunadi sera zenu wananchi wazijue waone kama zinashawishi au hapana!

Maskini Halima hata hivyo ashukuru miaka 10 ya ubunge si haba kama alijiwekea akiba kwa kuwa na nidhamu ya matumizi.
Gwajima atalichangamsha bunge
 
Back
Top Bottom