Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE UNA JIPYA GANI ULILOFANYA NYUMBANI KWENU NDANI YA MIAKA 10?
Kuna nini kwa Gwajima? Mbona rais amekuwa mkali hivyo?
Very relevant...kama una hoji nini alichofanya Halima wakati kazi zake zinaonekana kuanzia bungeni mpaka jimboni, kumbe tukueleweje? ni lini uliwahi kufika kwa katibu wa mbunge kuhoji huo utopolo unaohoji hapa? Kazi za mbunge ziko kwenye ripoti yake ya kazi. Kazi ya mbunge sio kununua katapila lake kama huyo mhuni wenu anavyoropoka!Is this relevant to what we are discussing here?
Kwa taarifa yako mimi ninalo tena kubwa hasa lenye impacts hadi kikazi cha kwanza hadi cha 4-7
Wema wa Mungu upo siku zote kwetu wanadamu hasa tunaomuogopa !
Very relevant...kama una hoji nini alichofanya Halima wakati kazi zake zinaonekana kuanzia bungeni mpaka jimboni, kumbe tukueleweje? ni lini uliwahi kufika kwa katibu wa mbunge kuhoji huo utopolo unaohoji hapa? Kazi za mbunge ziko kwenye ripoti yake ya kazi. Kazi ya mbunge sio kununua katapila lake kama huyo mhuni wenu anavyoropoka!
Utakuwa ni msukule wa Gwajima wewe. Hivi unaona kuna mtu anamchafua Gwajima? Gwajima kajichafua mwenyewe tapeli mkubwa yule. Awadanganye misukule wake kama wewe!Sasa jikiteni katika kunadi sera zenu tuzijue kama mtakuwa na jipya.
Kumchafua Gwajima haisaidii kitakachowasaidia ni kunadi sera zenu wananchi wazijue waone kama zinashawishi au hapana!
Maskini Halima hata hivyo ashukuru miaka 10 ya ubunge si haba kama alijiwekea akiba kwa kuwa na nidhamu ya matumizi.
Utakuwa ni msukule wa Gwajima wewe. Hivi unaona kuna mtu anamchafua Gwajima? Gwajima kajichafua mwenyewe tapeli mkubwa yule. Awadanganye misukule wake kama wewe!
Ndiyo maana anasema nileteeni Gwajima akiwa na maana kuwa yeye tayari kapita kwa kuwa anauhakika na Mahela na team yake .....!!Ubabe Ubabe tu.. Mgombea wa CCM tunasikia yeye hajiombei kula bali Wagembea wake wa Ubunge na udiwani ndio uwaombea...Kama ni Kweli hii imekaaje??
Kwa kula kondooGwajima hazuiliki.
Yalishapita yale Sasa tunaganga yajayo...Gwajima hawezi kusafishika kwa kauli alizotoa dhidi ya Waislamu.
..Hata akiomba radhi hawezi kuaminika, labda aamue kusilimu.
Magu alidhani pia kumkata mtoto wa dada yake itakuwa mlango wa kutokea ili kutetea uchafu wa gwajima! Nadhani pia magu ana mawazo y kuwa alivyo na madaraka makubwa kuliko watu wote tz basi anawazidi hata akili wote hapa TZ. Wewe unamuwekaje gwajima ili awaongoze watu walewale anaochukia na kukashifu dini/imani zao eti ni za majini au za manabii wa uongo!Ile kauli yake kwamba watashinda kabla ya sadaka ya kwanza ilimfurahisha mnoooooooo Jiwe mpaka akamkata mtoto wa dada🤣🤣🤣🤣
Tatizo alitukana waislamu na wakatoliki pamoja na Pengo wao, halafu muongo alisema amenunu treni na kujenga kanisa kubwa kuliko yote Afrika. UONGO MTUPU.Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
View attachment 1600665
Muongo sana Gwajima alidanganya waumini wake kuwa amenunua treni, akawaambia waislamu na wakatoliki kuwa ni wapinga Kristo, Akamdhihaki Pengo kwa kumuambia anakula maharage ya wapi. Kifupi huyu mtu sio mkweliKwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengine
Gwajima kawe anatoshaa
Alipowasaidia UKAWA alikuwa lulu Leo kawa kimeo?Gwajima bado sana.....Mkuu atalala hoi bila sababu....Gwajima ni kimeo sijui kwa nini walimpitisha..nahisi wamemfanyia makusudi
Unahitaji msaada wa kiroho. Kama za Gwajima kwako ni nguvu, haishangazi wewe ni msukule!Sasa kama kajichafua mnahangaika naye wanini mtu ambaye ameshachafuka?
Mlipaswa kuachana naye kisha mkajikita katika kunadi sera zenu ili wananchi wazipime kuona kama zinaushawishi.
Gwajima siyo wa kawaida, ana nguvu kubwa ndani yake isiyoelezeka Ndiyo maana siyo rahisi kumuelewa hata kidogo!