Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Yote tisa lakini kumi Gwajima ndiye anayefaa kuwawakilisha wananchi wa Kawe bungeni!

Mara akishatangazwa mshindi ndani ya miezi michache tu tofauti na value addition itaanza kuonekana jimboni kwa wananchi!

Bahati imekuja hii tuipokee na kuiunga mkono na siyo kuipiga mateke!
 
Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.

Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Mfano ulitaka akushawishi vipi? Mana waliokuwepo eneo husika memuelewa sana
IMG-20201014-WA0139.jpg

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Kama Tundu wa CHADEMA aliwahi kuweka maovu ya Lowasa hadharani na akarudi kumsafisha ili wachukue dola nani anaweza kuwaamini CHADEMA??

Tena mchungaji mchungaji hajafanya aliyoyafanya yule fisadi papa wenu, kama yapo ni madogomadogo ya kuanguka na kuamka na kufanya toba ambayo kila mwanadamu anapitia sio Yale ya kuhujumu uchumi, kuuza nchi na kujilimbikizia mali huku watanzania wengine akubariki kwa kukosa huduma

My signature
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Bado hujakuwa ukikuwa utaacha .

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Nakushauri tu Ni pitia vizuri historia ya Libya mwanzoni na sasa ufapata concept ya Rais Magufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Ubabe Ubabe tu.. Mgombea wa CCM tunasikia yeye hajiombei kula bali Wagembea wake wa Ubunge na udiwani ndio uwaombea...Kama ni Kweli hii imekaaje??
Hebu naomba tuanze na clip aliyosema hiyo kauli.mana nimekuwa nikifatilia kampeni zake na hakuba sehemu aliyosema wala kufanya hivyo Mara zote anaanza kwa kujiombea kura yeye mwenyewe kisha wabunge na madiwani wake na huwa anaomba kwa unyenyekevu mkubwa.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Hapa Kwenye suala la ubunge kawe Mdee akatafute shughuli ya kufanya
Imeisha hiyo .
Kawe inaenda kuwa ya kijani

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
Na asipoapishwa utakuwa tayari kunywa rojo la chooni? Unajua madhara ya Ile kauli ya magu juu ya kumkata mpwa wake na kumuweka pornstar wenu kwa wanaccm wa kawe? Kama hujui Basi utakuwa juha na bwege mtozeni! Wajumbe Wana lao oktoba 28!
 
Ngoja tuone wananchi watakavyoamua kupitia sanduku la kura kama watakuwa wako well infomed .

Off course Campaign ya safari hii inaonekana kuwa Na awareness kubwa ukilinganisha ma awamu zilizopita.

Wapigakura wengi wako mitaani na mikoani!

Wapigakura wengi hawana simu kabisa na wakiwa nazo siyo simu janja!

Wapigakura wengi kutokana na umaskini hawana hata redio za kuwapa taarifa mbali mbali!

Sijui ngoja tuone mwitikio wa wapigakura kupitia sanduku la kura hatimae matokeo yatavyokuwa!
Rudia kufanya utafiti wako tena!!asilimia karibia 60 ya watu vijijini wana tumia simu!! Ushaidi ni mikutano ya Lissu haipati airtime ya chombo chochote cha habari lakini watu wanajaa kumsikiliza!!dunia ya leo watanzania wengi ni waelewa ugumu wa maisha,kikokotoo,kukosa ajira kumewafumbua macho wengi, imagine mzazi amesomesha mtoto kwa shida,inauma sana kwa mzazi ambae mtoto wake hana ajira,kikokotoo,leo wastaafu wanapewa fedha za kijungu jiko tena zinatoka kwa mafungu, wastaafu wengi wanarudi vijijini watu wanaona ndugu zao wanavyoteseka,nani atakubali kulea huu ujinga?? Yaani Magufuli and company,wakistaafu wanalipwa chao mapema tena na matibabu wanapewa na nyumba na huduma zote mpaka siku watakapoingia kaburini!!sasa kwann watese wastaafu wengine kwa sheria zao mbovu!!
 
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.

Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.

Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.

Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.

Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Wewe wa wapi kwa akili yako ndogo unaona ivyo, Gwajima tunamkubali kawe hiyo iko waziwazi

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA YOTE INATUMIA MDA MWINGI KUMCHAFUA GWAJIMA HAPO SIJAJUA KWANINI
ILA NAJUA NI UOGA,CHADEMA MNAMUOGOPA SANA GWAJIMA
 
Gwajima anawatesa Sanaa Chadema hawalali usiku kucha Mitandaoni yao imemjaa Gwajima ,badala watoe Sera zao
 
Back
Top Bottom