Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Huu ndio uzushi uliotukuka, ambao usipopingwa ukaachwa utageuka kuwa ukweli, huyu Mwenyekiti mya hivi ni kweli ana muda mrefu kama mleta uzi huu anvyosema??Angalia kwenye red bold ndio utajua kwamba andiko hili halina mashiko
 
Mungu baba wa mbinguni tunakuomba kwa dhati ya mioyo yetu futilia mbali hili dubwana linaloitwa ccm...amen
 
Ccm ndiyo chama pekee chenye nguvu na mipango thabiti, sasa hivi msitegemee bahati tena maana mpasuko ulishapita 2015 na kikasurvive.
 
Kama Moto upo ndani kwa ndani si ndio furaha huko ufipa.. Kuandika Mapema si watastuka
 
Kwa kauli moja CCM wanaamini katika itikadi moja tu: kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile. Kwa vile mwenyekiti hajafanya lolote kinyume na hili takwa ya kiitikadi, siyo rahisi mgogoro wowote ufukute.
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
..duh...tufanye hivi...kwa taarifa ya bandiko lako, iwe kweli, kisha mwenyekiti mtajwa ktk bandiko lako, aamue kukimwaga "chama dume", na kuhamia kunakokonga roho ya "mzee mwiru"....chambilecho mwanaFA na AY, ...."itakuwa vipi?"
 
Kama hayo wanayolalamikia ni kweli:
1.Nani alompitisha kuwa mgombea wa chama chao?
2.Nani alopmpigia kampeni mgombea wao?
3.Nani alomchagua kuwa mwenyekiti wa chama?
Wasipotezee watu muda, wao waungane nae kuboresha chama chao na kusimamia serikali ya chama chao
 
Moto wa ndani kwandani utadhibitiwa tu, kw vile magari ya washwasha na yale ya fire yatatumika kwa pamoja kunusuru hali hiyo kabla ya kuleta athari. CCM ni wazoefu
Sheikh wangu, ama weye kiboko( ktk heri, na uchangamfu wa barza la JF)...ktk ilmu na burdani ndani ya jamvi la GT, we nafasi yako sawia na brazil kwenye kombe la dunia...
...navutiwa mno na michango yako yote (imejaa ilmu, burdan, na hata uchokozi)...
...I salute u bro!
 
Huu ndio uzushi uliotukuka, ambao usipopingwa ukaachwa utageuka kuwa ukweli, huyu Mwenyekiti mya hivi ni kweli ana muda mrefu kama mleta uzi huu anvyosema??Angalia kwenye red bold ndio utajua kwamba andiko hili halina mashiko
Mbona una haraka shusha pumzi picha linaendelea.
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.

Mwanahabari huru huwa nakuaminia baadhi ya dondoo.

Ila hii ina walakini kama sio kukosewa na yule "double agent".

Lowasa na Mbowe ni "double agents" mchana wako Chadema usiku wako CCM.

Ndiyo maana Chadema hamtajenga makao makuu ya chama.

Kuanguka kwa Maalim na Lipumba ni dalili tosha.
 
Kwani migogoro ya chadema au cuf ni ccm Kwa woga wake anapandikiza waganga njaa
 
Ndo hasara za kumpa mtu uenyekiti wa Taifa wakati hajawahi kuwa kiongozi yoyote wa ngazi ya chini ya chama.
Dereva wa Chama cha mwendo kasi

Vipi ile hasara ya kumpa tiketi ya kugombea uraisi mwanachama wa siku 3?
 
tuletee matukio zaidi tutayapokea na tutapima ukweli uko wapi...
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Story ya kubuni, pole yako. CCM ni Imara, na itaendelea kuwa Imara.
Magufuli atasafisha uozo wote na chembechembe za mabaki yote ya mtandao.
Chama linaenda kusukwa na kua na nidhamu mithiri enzi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mangula, Msekwa, Magufuli na wazalendo wote walowekwa pembeni na mtandao Wa kina Lowssa ndo wanakwenda shika hatamu.
Mtasubiri sana na propaganda uchwara.
 
Eeeenh Mungu kishushie chama hiki kama moto Wa sodoma na gomora ukiangamize kabisa
Kabla ya CCM, mungu ataanzia kushusha ombi Lako Chadema Kwa kubadilisha gear angani dakika za mwisho, kisa mlungula Wa mzee manvi, hahaha!
 
Baada ya kusikitika mwenyekiti wako Mbowe kauza chama, unahangaika na chama imara chenye mwenyekiti makini.

Hauna hata aibu.

Mzee wa Chilonwa.
 
Back
Top Bottom