Pamoja na hayo lakini tumepiga hatua kidogo kwenye maendeleo... na imagine angekuwepo 5 years!Maono gani? ......
-kukifanya Kijiji cha Chato kuwa jiji?
-kupiga watu risasi?
-kuteka watu?
-kupora fedha za watu?
-kupendelea watu wa kanda yake?
Ni motoooooo.Yupo Kassim Majaliwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nimecheka balaaπππππππππMuongo si huyu apa
View attachment 1837023
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Ilikuwa ina brainwash wasiojitambua. Ni nadra kwa mtu anayejitambua kuangalia TBC.Lakini bado hata nusu ya chuma hafikiii... yaani sasa hivi hata TBC1 haina cha kuonesha ... maana ilikuwa ni matukio kwa mwendo mdundo
View attachment 1837026
hamjifunzi tu?
View attachment 1837071
Jifunze hapo MATAGA..
Ameshusha uchumi halafu unasema ana uthubutu? Hizi sifa za kijinga huwa wanapewa viongozi wa nchi zenye ulemavu wa ujamaa.
So CCM mnaipenda katiba iliyopo sababu inawaweka madarakani?kila mtu anajua katiba mpya ina umuhimu, sasa katiba sio kwa ajili ya nyie kuingia madarakani ila ya WANANCHI , sio kwa maneno yenu!
Uthubutu wa kuteka watu au?
The guys analytical capacity was exceptional! Mzee alikuwa mwamba na akifuatilia jambo analidig from the core. He always has the first hand information about the situation kabla hajasikiliza porojo za wahusika. Straight away anatoa maelekezo wala hana haja ya kupoteza muda!Magufuli alikuwa na IQ kubwa sana... sharp in decision making ... humdanganyi kirahisi
Sadam alikuwa Raisi wa KuwaitiMagufuli alikuwa na IQ kubwa sana
Sadam alikuwa Raisi wa Kuwaiti
Wacha sahizi wapewe uhuru wa kuropoka na kuandika upuuzi juu ya serikali huku serikalini watu wakijipigia mipunga na kupotezea miradi ya maendeleo πππ watakuja kuelewa somo vizuri nk swala la muda tu!Ameshusha uchumi halafu unasema ana uthubutu? Hizi sifa za kijinga huwa wanapewa viongozi wa nchi zenye ulemavu wa ujamaa.
Tofautisha IQ na Siasa hao jamaa walikuwa wanataka kumkaribisha Lowassa baada ya kupiga mahesabu kuwa atakuja na maelfu ya WanaCCM ili kukisambaratisha Chama cha Mapinduzi na kushinda Uchaguzi Mkuu hio sio IQ ndogo jata kidogo