Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Japo ni mchungu lakini ndio ukweli wenyewe wa mambo. Tanzania hatuna any serious opposition, hivyo CCM itatawala milele. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
unataka kutukanwa hapa , sitokutukana maana UVCCM nawajua.Mbowe hasaidii masikini ila anjisaidia mwenyewe na maisha yake hamna mtu anaemsaidia
Nimeshakuambia mbowe anapambania tumbo lake usitake kutudanganya hapaunataka kutukanwa hapa , sitokutukana maana UVCCM nawajua.
Hizi akili ndio mtatawaliwa mpaka chooni.
Illogical.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Pimbi za UVCCM huwa zinadhani UPINZANI ni kama shirika fulani la mtu, chama si mali ya mtu ni cha wote, ndio maana waanzilishi wanakufa na vinaendelea.Illogical.
Hakuna kabila la wapinzani, hakuna mtu anayemiliki upinzani wala hakuna hatimiliki ya upinzani. Kama wewe unaona hivi sasa upinzani uliopo ni dhaifu na unatamani upinzani wa nguvu, basi anzisha na kuuimarisha wewe mwenyewe. You have to be the change that you want.
Kama roho yako ni kwatu huko CCM, basi achana na masuala ya upinzani, endelea kufaidi raha za chama dola.
Kama Mbowe anakukereketa, mchukulie hatua. Halazimiki kuwa mpinzani wala chochote kile. Anaweza hata kuendelea kula bata na kuwaachia wajinga msala wenu mhangaike nao wenyewe.
Upinzani ni nini? Nguvu ya upinzani inatoka na nini? Mbona Kenya wameleta mabadiliko makubwa bila kuhusisha vyama vya upinzani? Nataka tu kukuonyesha kuwa tatizo la Tanzania ni wananchi na siyo upinzani.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Chama dola unadhani hakiwezi kutolewa? Tatizo la watanzania nakubaliana nalo na ndilo tatizo.CCM haiwezi kutoka madarakani kwa sababu ni chama dola na pia watanzania wengi ambao ni wapiga kura hawaelewi yanayoendelea. Wao wakishapata buku 3, kanga na muziki basi wanachukua wanaweka waaa.
Wananchi tatizo lao niniUpinzani ni nini? Nguvu ya upinzani inatoka na nini? Mbona Kenya wameleta mabadiliko makubwa bila kuhusisha vyama vya upinzani? Nataka tu kukuonyesha kuwa tatizo la Tanzania ni wananchi na siyo upinzani.
soma upande wa pili kuwa watanzania walio wengi ambao ni wapiga kura...Chama dola unadhani hakiwezi kutolewa? Tatizo la watanzania nakubaliana nalo na ndilo tatizo.
Pambana na maisha Yako mzee ccm ipo mileleIllogical.
Hakuna kabila la wapinzani, hakuna mtu anayemiliki upinzani wala hakuna hatimiliki ya upinzani. Kama wewe unaona hivi sasa upinzani uliopo ni dhaifu na unatamani upinzani wa nguvu, basi anzisha na kuuimarisha wewe mwenyewe. You have to be the change that you want.
Kama roho yako ni kwatu huko CCM, basi achana na masuala ya upinzani, endelea kufaidi raha za chama dola.
Kama Mbowe anakukereketa, mchukulie hatua. Halazimiki kuwa mpinzani wala chochote kile. Anaweza hata kuendelea kula bata na kuwaachia wajinga msala wenu mhangaike nao wenyewe.
Hamna mjinga ataekubali kuipa nchi chama Cha ukabila hata siku Moja huo ni ujingaChama dola unadhani hakiwezi kutolewa? Tatizo la watanzania nakubaliana nalo na ndilo tatizo.
Upinzani sio mtu, rudi shule ukasome upya.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Kukaa kimya bila kuwawajibisha viongozi wazembe. Leaders are shaped by wananchi! Ukali wa mbwa ni msasi. Wananchi wakiwa legelege viongozi nao wana-relax. Huoni yanayotokea Kenya? Jaribu kutembea duniani uone. Ulaya yenyewe kila siku kuna migomo na maandamano ya wananchi kuhusu serikali zao. Viongozi wanatakiwa kuchungwa kama ng'ombe... muda wote.Wananchi tatizo lao nini
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi uone kama misa ya kwanza itatoka kabla ya chama kupigwa mwerekaKwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Who cares? Maisha yangu yako stable sana kuliko unavyofikiria.Pambana na maisha Yako mzee ccm ipo milele
Mkuu huyo ni Lucas na ID yake nyingine.CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Si waweke vitu huru tu, waone kama watakaa hata mwaka mmojaKwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Hamna kitu kama hichoSi waweke vitu huru tu, waone kama watakaa hata mwaka mmoja
Ndiyo maana nimeamua kumpuuza tuMkuu huyo ni Lucas na ID yake nyingine.