Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

ukawa wanatapatapa sana. nawashauri chadema mmalizane na mbatia kwanza anayedai haki yake. ndio muanze kujadili yanayoihusu ccm chama kubwa.
 
kwa sasa wanaccm wameufyata.alitakalo magu ndilo lifanyikalo. poleni wanaccm makondekta anakuja...
 
Kwani Daudi Albert Bashite keshapata vyeti mpaka afikiriwe kupewa nafasi nyingine?
 
Wala haitashangaza .machizi huwa wanaelewana.
 
hahahahahahahaaaa [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG]
 
Chadema mnamuogopa sana huyu jamaa, huko darisalama ameshawapoteza hatumsikii Mnyika wala Kubenea dadeki!
 
Hivi nani kakuambia Magufuli atafikisha 2025? Paskali, huyo muzee hakatizi 2020 na ataingia kwenye historia ya viongozi walio ongoza kipindi kimoja na kushindwa uchaguzi. Vilio (vya moyoni) vimekuwa vingi sana na havitamuacha salama.

Hiv huyu paschal nan kamloga????????

Hiv kwa akili ya kawaida tu Makonda awe Rais wa Tanzania......

Hii ni post ya pili naiona Leo kwa paschal kuhusu huyu bwana.....

Paschal unatukera sanaaaaaaaaaaaaa
 
ukawa wanatapatapa sana. nawashauri chadema mmalizane na mbatia kwanza anayedai haki yake. ndio muanze kujadili yanayoihusu ccm chama kubwa.
Subirini bashite aje awagegede kwa toilet paper mtanyooka tu chamani!
 
Akiletwa kwenye Chama hatoweza kufanya Vizuri kwa sababu kule sio sehemu ya lelemama na kutafuta kiki! Chama kinahitaji watu makini sio wenye akili za Makinikia!
Hapana Mimi naamini Bashite kwenye chama atafanya vizuri sana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Mimi so shabiki wa Bashite lakini kwenye siasa nsmpa big up. Siyo yule polepole hata haeleweki anaongea nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…