Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upinzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka kama dhahabu safi inayo ng’ara.
CCM Ina uzoefu wa kuiongoza nchi, hivyo itakua mkosoaji mkubwa wa serikali iliyo madarakani pale mambo yakienda sivyo.
Kuweka wagombea wanaopendwa na wanachi na si chaguo la Mwenyekiti wa chama.
Ikiacha kufanya kazi kwa mazoea na wakosaji kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria bila kuoneana aibu au kuogopana au kukomoana.
Nafasi zikitolewa kwa wenye uwezo bila kupendelea watoto wa wakubwa. Wasio letea chama matarajio chanya kuenguliwa na wenye uwezo kupewa nafasi.
Miaka mitano inayaitosha CCM kujipanga upya na uchaguzi wa 2025 tukiwa hai utakua mgumu sana.