King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,351
Hichochama kitajifia mazima kama KANU Kenya na UNIP ya Zambia .
Taasisi ni hii ambayo wananchi wa Hali ya chini na Kati wanaiamini.Ccm ni taasisi yenye mizizi mirefu mpaka vijijini, sio kama chadema ni saccos
Sorry sijakuelewa au ulimaanisha 2025?Kwanza tupate Rais mwanamke kwa 'muda' kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020
Hapana kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020 wiki tatu zijazo Lazima tupate Rais mwanamke kwa muda malaika Israel sasa hivi yuko serious havumilii tena upuuziSorry sijakuelewa au ulimaanisha 2025?
kama ndivyo naunga mkono
Ummy Mwalimu kama namuona ivi
😁😁😁😁ni ndoto hizo eee......Hapana kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020 wiki tatu zijazo Lazima tupate Rais mwanamke kwa muda malaika Israel sasa hivi yuko serious havumilii tena upuuzi
Hatutaki mizoga ya siasa sisi. Waende TLP hukoWakishindwa uchaguzi ndani ya siku mia wote watakimbizana ufipa kuunga mkono juhudi za Lissu
Sasa hivi nasikia ndani ya CCM ugomvi umeanza kuwania nani awe KUB.Mmeshafikiria KUB atakua nani?
Mbona CCM in chama cha M/kiti? Hiyo demokrasia ndani yake iko wapi wakati ni upupu mtupu? Wote alionunua walikataliwa na kwenye kura za maoni lkn wakapitishwa kugombea kwa nguvu ya M/Kiti. Ni uongo?CCM ni taasisi yenye mizizi mirefu mpaka vijijini, sio kama chadema ni saccos
😂😂😂😂😂Mkuu wangu Sky Eclat umekosea sana. CCM ikiondolewa madarakani Mali za wizi zote ilizopora kutoka kwa wananchi ikiwamo viwanja vya mpira na baadhi ya majengo tuliyojenga wakati wa chama kimoja watanyang'anywa na kubaki hohehahe kama TLP.
Jee unadhani haya malafi yatabaki huko? CCM yaweza kuwa dhaifu kuliko hata CHAUMA ya mzee Rungwe.