Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
CCM imekosa kibali cha wananchi na wanachofanya sasa hivi ni kulaghai wananchi kwa kuosha masufuria na kupiga magoti.Ni aibu na fedhea!
Chadema ndio Mali ya mwenyekiti hata wewe unafahamu Hilo, na hata leo kudhihirisha hili katoa msimamo tofauti na alioutoa yuda iskariote lisu, hii inazidi kudhirisha wazi kuwa chadema ni saccos ya djMbona CCM in chama cha M/kiti? Hiyo demokrasia ndani yake iko wapi wakati ni upupu mtupu? Wote alionunua walikataliwa na kwenye kura za maoni lkn wakapitishwa kugombea kwa nguvu ya M/Kiti. Ni uongo?
CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upainzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka kama dhahabu safi inayo ng’ara.
CCM Ina uzoefu wa kuingoza nchi, hivyo itakua mkosoaji mkubwa wa serikali iliyo madarakani pale mambo yakienda sivyo.
Kuweka wagombea wanaopendwa na wanachi na si chaguo la Mwenyekiti wa chama.
Ikiacha kufanya kazi kwa mazoea na wakosaji kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria bila kuoneana aibu au kuogopana au kukomoana.
Nafasi zikitolewa kwa wenye uwezo bila kupendelea watoto wa wakubwa. Wasio letea chama matarajio chanya kuenguliwa na wenye uwezo kupewa nafasi.
Miaka mitano inayaitosha CCM kujipanga upya na uchaguzi wa 2025 tukiwa hai utakua mgumu sana.
Heat period,na huna mtu wa karibu kukusaidia.