CCM kitakuwa chama bora cha upinzani na Uchaguzi wa 2025 utakua mgumu

CCM imekosa kibali cha wananchi na wanachofanya sasa hivi ni kulaghai wananchi kwa kuosha masufuria na kupiga magoti.Ni aibu na fedhea!
 
Mbona CCM in chama cha M/kiti? Hiyo demokrasia ndani yake iko wapi wakati ni upupu mtupu? Wote alionunua walikataliwa na kwenye kura za maoni lkn wakapitishwa kugombea kwa nguvu ya M/Kiti. Ni uongo?
Chadema ndio Mali ya mwenyekiti hata wewe unafahamu Hilo, na hata leo kudhihirisha hili katoa msimamo tofauti na alioutoa yuda iskariote lisu, hii inazidi kudhirisha wazi kuwa chadema ni saccos ya dj
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…