Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.
Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Bashite ndio dira ya ccm kwa sasa .Bashite's Power.
Asilimia 66 ya waliotajwa hapo juu wametofautina tu na Bashite.....
Hakuna kitu kama hicho, hii ni ndoto ya mchanaTaarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.
Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Bora umesema, maana ramlichonganishi zimezidi kutamalaki.Hawana ubavu huo
Hivi ww mpiga kura kweliii wa ubungo au mshikaji tu wa ccmHivi nyakati hizi kuna upinzani mkubwa au kelele tu?
Ukiitishwa uchaguzi leo kubenea atarudi kweli?
Yaweza dondoka pia. Kuna linaloshindikana duniani hapa?Chadema bana ....mnasubiri maembe chini ya mstimu wa umeme!
Mmmh hii hatari Sana kwa mfugajiKwa nini wafukuzwe?. Mtu kama Mhe. Bashe hoja anazozijenga utazipenda. Ni msema ukweli. Mhe. Msukuma yuko sawa kabisa. Kama Maaskari wanakamata mifugo kwa masilahi yao kwa nini asiseme. Wapi dunia hii umekwishakuona ng'ombe 600 wanauzwa kwa shillingi millioni tatu tena wanunuzi wanatoka Dar?. Huo ni Utawala Bora?.
Mbna inavuma swrthrt
Ova
hapo ndipo utagundua viongozi wa CCM na serekali yake wanavyoendekeza matumbo.Bashite's Power.
Asilimia 66 ya waliotajwa hapo juu wametofautina tu na Bashite.....
Hahahaha naona hujui kupendwaUmeandika nini hapo duh, pita hukoooooo
Bashite kwa sasa ndiyo mshauri mkuu wa baba JescaBashite's Power.
Asilimia 66 ya waliotajwa hapo juu wametofautina tu na Bashite.....