Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ni kweli Shimba ya Buyenze nimeitoa kwa upole sana. Kwa mambo yanavyoenda, hasa ukiwa unayashuhudia kwa macho. Na Watanzania wanavyoyachukulia!!!Sijui kwa nini hii comment imenifanya nione wivu. Imetolewa kwa upole mno jamani kha! πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
hapa ndipo umenyea post yakohuenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
OkayAsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini hizo hizo kura za uRais watapata kiduchu hata 5% na ndizo zitawapa viti maalumu hata viti 10 tu tosha sanaa
Dar ndo Number moja potential area kwa CCM, hakuna mpinzani atashika jimbo la Dar any time soon.Hayo majimbo wapewe huko dar tena Yale mapya maana huku mikoan hatuwambui ata kdg
Ubunge hautakiwi kutolewa kwa hisani ya mtu. Hii ni hatari kwa demokrasia.πΉπΏπ€Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Ndo mana unatakiwa kuelewa No Reform No Election inataka kuheshimisha maamuzi yako kupitia kura yakoRefa ni Kada mtiifu wa CCM
Line 1 & 2 ni makada wa CCM
Fourth official kada wa CCM
Unategemea mechi ashinde Berkane hapo?
Kitendo cha kukaa kimya ni wazi kabisa anahusika na yote haya. Kipindi Mbowe yupo mahabusu mbona wengine walikuwa wanampambania. Baada ya kukosa uenyekiti ndio anataka kuondoka na watu. Tamaa yake haitafanikiwa.Muulize James Mbatia alipewa ahadi Kama hizo .
Chadema inachohitaji ni kupata support ya watu na sio kusubiri huruma ya Serikali na Ccm.
Kuhusu Mbowe tusimuhukumu kwakuwa yeye ndo kaijenga chadema mpaka kuwa threat
Kwa hiyo kumbe ni kweli sio wananchi wanaoamua Viongozi wa taifa hili bali ni CCM?Dar ndo Number moja potential area kwa CCM, hakuna mpinzani atashika jimbo la Dar any time soon.
Majimbo wataachiwa ya huko Wang'ing'ombe, Kazula mimba, Bupandagila
ibilisi hajawahi shindaWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Labda ya kule Kilimanjaro kwa kina mchome na mlema maana hata huko njombe na kazuramimba hawajulikanDar ndo Number moja potential area kwa CCM, hakuna mpinzani atashika jimbo la Dar any time soon.
Majimbo wataachiwa ya huko Wang'ing'ombe, Kazula mimba, Bupandagila
Chadema ipo miyoni mwa watanzania,,,Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Huo ndo mkakakati na ulishajulikana na uliwekwa wazi mapema hapa.Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Mkuu hongera kwa hizi hadithi zako. Kabla ya uchaguzi wa 2020, Magufuli aliwaita Mbatia na Lipumba na akaahidi kuwapa majimbo kadhaa ili wawe vyama vikuu vya upinzani. Na kweli Mbatia na Lipumba walianza na moto, haswa Mbatia, yeye alilipiwa hadi ndege kwenda kupokea wanacdm waliohama cdm kusubiri kuunga mkono juhudi. Akapokelewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya, ikawa maajabu mpinzani kupokelewa na mkuu wa mkoa. Mbatia akapokea wanacdm huku akipatiwa nyomi fake la wanaccm.Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Nireeeeteeeeniiiii gwajimaaaaa!Kwani wananchi ndo wanachagua au CCM ndo yenye kuamua nani awe mwakilishi wa wananchi bungeni?
Covid 19 hao wana mamia ya mamilioni ya kiinua mgongo watajitegemea wenyewe pa kwendaACT wao wameachwaje sasa? Na wale 19 wanaachwaje?
Hatakuwepo usiogopeTatizo ni muda wa kuzipata hizo reforms na mwenye mamlaka kama atakua willing ku Negotiate
Yaani awe willing asiwe willing, tayari madai haya yako wazi peupe. Sana sana ataaigiza vyombo vya dola kuumiza wapinzani wa kweli, kuteka wapinzani na uchafu wa aina hiyo, lakini cdm itaendelea kushikilia madai yake ya msingi. Vuta subira utajua wakati ukuta.Tatizo ni muda wa kuzipata hizo reforms na mwenye mamlaka kama atakua willing ku Negotiate
NO REFORMS NO ELECTIONWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.