CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania


Siwezi kuutetea huo uovu he finally lost his class by 90% nani wa kumsemea sasa hapendi kauli jumuishi, cheo kimefanya awe mkubwa wa vyote kwa kila jambo, we have had a shame of the century today. Arbitrariness has totally failed him, I don't see a class of his title in him. Am disappointed badly no no no.
 
Ccm bado mpo mfumo wa chama kimoja,acheni udikteta kubalini demokrasia.
 
Huyu Jamaa lazima pia ataamua mbunge gani apite na yupi asipite , yaani upinzani sasa hivi kazi IPO , kuna uwezekano wabunge watakaopita Wa upinzani ni wachache Sana au wasiwepo kabisa.
 
Team Mapambio ndo wanamuharibu Rais...

Sifa zimezidi. So he is all the way right. Mbaya mnoo.
 
Kwani wewe ulifikiri anayechagua wabunge ni mwananchi? Awamu hii ni mwenyenchi 😎😎😎
 

Mkuu, kama ni kweli maamuzi yanafanywa na mtu mmoja ndani ya chama kweli hatari ipo.

Naamini unauzoefu wa kutosha hata kabla ya huyu aliyeko, hali ilivyokuwa hovyo ndani ya Chama.

Samahani lakini, kama itakupendeza hebu tupe mfano wa miaka ya karibuni ambapo CCM ilikuwa mbele kimfumo na kiutendaji kabla ya kurudishwa nyuma.
 
Mliambiwa lakini[emoji38]

Haha naona unatucheka mkuu! [emoji23] Wacha wakatwe labda siku nyingine wakionywa watasikia! Sote kwa umoja wetu tungetimiza majukumu yetu tangu awali tusingefika hapa, kwa sasa mambo yameshaharibika labda tutakuwa nalo la kujifunza.

Ajabu ni kuwa hata wakikatwa kwa kwa kile alichokiita “mood” badala ya kukemea wataanza kuzunguka wakimsifia ili awakumbuke kwenye vijinafasi vingine vingine, amewatia watu vidole vya macho muda mrefu wamemchekea kwa sasa amejaa kiburi cha kiwango cha mwisho.
 
Tundu alivyosema MTU FURANI ni DIKTEKTA watu walikuwa hawajaelewa.
 
Mkuu unaweza kuwa na wazo zuri sasa huoni kamati kuu kuchagua watu inaweza rudia same mistakes au kwa theory yako ni kwamba anayechaguliwa na kamati kuu ni perfect kuliko na wananchi?

Yaani what if hao 3 wakateuliwa sababu tu ya mihemko ya mwenyekiti? Ama kipenzi na asiyekosoa sera za mwenyekiti bungeni? Kwanini hauoni risk kwa kamati kuchagua watu hovyo kuliko wakiachiwa wananchi??
 
Ukitaka kuamini kuwa kilichoa dikwa kwenye bandiko ni kweli angalia comment hapa. Utajua upo ushabiki wa kindezi sana haufuati mantiki, sera , hoja bali aliyesema ni nani yuko upande gani
 
Majina yapo ktk kompyuta - Dr. Bashiru Ally

12 Mnatafuta Urais Zanzibar
! Katibu Mkuu Wa CCM, Dkt Bashiru Ally
30 August 2018
Amesema Anawajua Wanasiasa na Baadhi ya wanachama Wa CCM Zanzibar Wanaozunguka Zunguka Kabla Ya Muda Kuwania Kiti Cha Urais Wa Zanzibar. Hii ina maana kuna vyama zaidi ya 10 ndani ya CCM Mpya anaainisha Katibu Mkuu Bashiru Ally.
Source : Global TV online
 
Wewe unadhani changamoto zilizotajwa kwenye mada ya msingi, zinaweza kutatuliwaje nje ya kutumia njia hiyo?
Mkuu iundwe independent committee ambayo itaangalia merits tu kuteua ila kma Kamati kuu ndio ihusike biasness itahusika na watu watachaguliwa kishabiki kma ambavyo umesema wananchi huchagua kishabiki, hapo ni kujuana,urafiki n.k sababu sijaona namna ambayo kamati kuteua ni competent kuliko wakiamua wananchi.

Mfano je teuzi zote za Rais huwa perfect? Kweli Mwigulu alifaa kurudishwa uwaziri? Makonda alikua right person kubaki ofisini? Ama kina sabaya/Murro kuwa DC? Yaani kwanini unaamini maamuzi ya kamati kuu (obvious ya mwenyekiti) yapo competent kuliko ya wananchi ilihalu both are prone to make same mistakes?

Naomba uliweke sawa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…