Samia ndiye Rais wako baada ya October 2025!! You can take it to the bank!!rasmi, vi vita katika ulimwengu wa roho. majini (mashetani) na Malaika wa Mungu (Jeshi la mbinguni).
Lazima ushindi uwe upande wa Bwana. Majini yashinde?! never on earth!!!!!!!
Lissu kajiandaaje na uchaguzi?? Hela Za kampeni mnazo au mnafuga matumbo tu?Naona jamaa wamekugeuza beki, hapo ulipo unakaba tu maana hutaki ukweli upate support.
Wewe kama ndio team wale mliokuwa mkitembeza rushwa kwa wajumbe mshinde uteuzi wa Uraisi imekulla kwenu pesa yenu imeliwa bure nyie na baraza lenu feki mlipanga la mawaziriWatanzania wengi tunaojitambua hatujafurahishwa na mchakato uliofanyika kihuni huko Dodoma wa kumpata mgombea urais 2025
Huna haja ya kubabaika wakati 1/4 ni post zako kwenye uzi huu ukiwa unajieleza tu!sina haja ya kubabaika na kueleza sana mambo yanayohusu useless individuals ambao kwakweli hawana athari kabisaa kisiasa ndani na nje ya CCM,
na kwasabb hiyo,
tetesi husika ni nonsense politically speaking gentleman π
Ameenrasmi, ni vita katika ulimwengu wa roho. ni kati ya majini (mashetani) na Malaika wa Mungu (Jeshi la mbinguni).
Lazima ushindi uwe upande wa Bwana. Majini yashinde?! never on earth!!!!!!!
Mbowe ndio atampa hela za uchaguzi maana hajahama chama.Lissu kajiandaaje na uchaguzi?? Hela Za kampeni mnazo au mnafuga matumbo tu?
Ameenrasmi, ni vita katika ulimwengu wa roho. ni kati ya majini (mashetani) na Malaika wa Mungu (Jeshi la mbinguni).
Lazima ushindi uwe upande wa Bwana. Majini yashinde?! never on earth!!!!!!!
LOCUTA CAUSA FINITA !##DUUH, UPANDE WA KWANZA BINAFSI NIMEONA HAYA...ππ»ππ»
β‘Hoja ya Kibajaji ilikuwa na mashiko na ikaungwa karibu na wajumbe wote..
β‘ Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye mpendekezwa wa kugombea u - Rais kagoma/kakataa kujadiliwa...
β‘ Kataka aongoze kikao mwenyewe ambacho AJENDA ni kumjadili yeye mwenyeweπ€π€. Hii ni principle ya wapi?
β‘ Lakini tuliofatilia kikao hicho siku hiyo, utashangaa jambo moja lililotokea siku hiyo. Kwamba, hata baada ya wajumbe karibu wote kuunga mkono hoja ya Kibajaji (akiwemo mkwe wa Samia mwenye kifua kipana, Mchengerwa), lakini wajumbe hao hao kama mazuzu vile waliunga hoja ya mwenyekiti wao Samia aliyekataa kujadiliwa na kikaoπππ!!
##KWA UPANDE WA PILI, NAMUONA NDUGAYI (Former National Assembly Speaker)
β‘ Huyu jamaa anaonekana kukerwa sana na mwenendo wa serikali chini ya Samia kukopa kopa hovyo. Ni dhahiri hamkubali wala kumfagilia kabisa huyu Chura Kiziwi wa Kizimkazi, nchini Zanzibar...
β‘ Kajitoa muhanga na kulikemea hili waziwazi...
β‘ Haina shaka yoyote kuwa, uamuzi huu wa Job Ndugayi kulisema hilo waziwazi, sio wake binafsi bali ni mjadala uliofanyika pembeni kabla kundi kubwa la watu wazito na kukubaliwa kuwa "wewe ndiyo uliseme hili boldly wazuwazi..." na ikawa hivyo...
β‘ Hilo βπ»βπ»linaweza kuthibitishwa na kauli hii;
"..bajeti yetu ni 30+ trillions, kati ya hizo 10trillions hulipa madeni kila mwaka. Unakwenda kukopa 1.3trillions, unalipa 10trillions halafu watu wanapiga magofi pwaa pwaa. Akili hizo? Ipo siku nchi hii itapigwa mnada hii. Mbona mmenyamaza...!!?"
β‘ Soma hayo maneno ya Ndugayi between the lines. Binafsi nakubali kabisa, something is going to happen. Unabii umeshatimia katika ulimwengu wa roho, sasa utathibitika ktk ulimwengu wa mwili na kila mtu ataona kwa macho yake, kwamba, Chura Kiziwi na chawa wake wafanye kila wawezalo na wawazalo kwenye vichwa vyao, lakini Mungu aliye hai, ameshamkataa HAWEZI KUENDELEA TENA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII NZURI YA TANGANYIKA...!!
Unaiita ramli chonganishi na wakati huo huo unadharau wanachama watiifu wa chama kwa kuwaita useless??yaani unawamention useless persons ndani ya CCM
Mnajidanganya sana!! CCM ni Mwenyekiti na Mwenyekiti ndiye CCM!!
Mfumo wote wa vyama vyote Vya kijamaa huwa hivyo! Siku zote haiba ya vyama Vya kijamaa ikiwemo CCM hubebwa na Mwenyekiti. Samia yupo na ataendelea kuwepo.
Yes,Huna haja ya kubabaika wakati 1/4 ni post zako kwenye uzi huu ukiwa unajieleza tu!
Bado una hasira danga lako kushindwa uchaguzi dada Joyce Mukya?Lissu kajiandaaje na uchaguzi?? Hela Za kampeni mnazo au mnafuga matumbo tu?
ofcoz useless politicians within any vibrant and visionary political party are not tolerated πUnaiita ramli chonganishi na wakati huo huo unadharau wanachama watiifu wa chama kwa kuwaita useless??
Wewe ni useless kwa Mungumaskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!π
kufuru na dua la kuku hua halimpatagi mwewe siju kwanini aise dah π€£Wewe ni useless kwa Mungu
Likubali au lisikubali hakuna wa kumbabaisha mh.Rais ,kama yupo mwambie ajitokeze.Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695