CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo lissu ategemee anguko kubwa sana katika uchaguzi huu ambao atavunja record ya Mbowe katika kufanya vibaya ktk uchaguzi.
PIGO.KUBWA KWA BAVICHA
 

Attachments

  • VID-20250202-WA0004.mp4
    12.4 MB
Maskini siasa imeingia VETA🤔
Kama serikali Inashindwa kutoa pesa za vifaa vya kufundishia ufundi, hivi kweli kweli hilo kundi lote likienda huko elimu ya u fundi si itakua Historia... Yangu macho! 😎😎
 
A good catcher always comes from a bad path
 
Ni heri uwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
.
.Hebu tueleze vyanzo vya mapato vya CCM?
 
Ninachojua mimi dereva wenu Wasira haoni mbele vizuri,mnunulieni lenzi mbinuko
 
Ila inainua ujuzi wako na kuendeshea maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…