CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo lissu ategemee anguko kubwa sana katika uchaguzi huu ambao atavunja record ya Mbowe katika kufanya vibaya ktk uchaguzi.
PIGO.KUBWA KWA BAVICHA
 
Attachments

  • VID-20250202-WA0004.mp4
    12.4 MB
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo lissu ategemee anguko kubwa sana katika uchaguzi huu ambao atavunja record ya Mbowe katika kufanya vibaya ktk uchaguzi
Maskini siasa imeingia VETA🤔
Kama serikali Inashindwa kutoa pesa za vifaa vya kufundishia ufundi, hivi kweli kweli hilo kundi lote likienda huko elimu ya u fundi si itakua Historia... Yangu macho! 😎😎
 
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo lissu ategemee anguko kubwa sana katika uchaguzi huu ambao atavunja record ya Mbowe katika kufanya vibaya ktk uchaguzi
A good catcher always comes from a bad path
 
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga na vyuo vya ufundi katika wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%.
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo lissu ategemee anguko kubwa sana katika uchaguzi ambao watavunja rekodi ya Mbowe katika kufanya vibaya ktk uchaguzi.
PIGO.KUBWA KWA BAVICHA
Ni heri uwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
.
.Hebu tueleze vyanzo vya mapato vya CCM?
 
Ninachojua mimi dereva wenu Wasira haoni mbele vizuri,mnunulieni lenzi mbinuko
 
Ila inainua ujuzi wako na kuendeshea maisha
 
Back
Top Bottom