CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

Naunga mkono hoja.

Walionazo wazitunze vizuri. Mi yangu bado mpya lakini haikuwa ya bure.

Wale tunaotegema kupiga hela kipindi cha kampeni this time tutalia na kusaga meno.

Hakuna fungu kwa ajili ya kutumia hela hovyo,kama chama tuna miradi mikubwa inatukabiri kuitekeleza.

Kila mtu atapambana na hali yake,ole kwa yule atakayejifanya anahela,tutampunguzia tuzielekeze miradini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanataka lile lengo lao la wananchi kuishi kama mashetani lifanikiwe fasta maana sasa hata nguo hawataki kuwapa.

Walishawazoesha wananchi kila baada ya miaka 5 wanawapa manguo ya kijani ili kuendelea kuwapumbaza mara ghafla wamekata huduma? Au wananchi nao wameshakuwa donor people kama ccm walivyoifanya nchi kuwa donor kantre?
 
Duuu nina jirani yangu huku kwetu Kakonko yeye alikuwa hana bajeti kabisa ya mavazi maana alikuwa anategemea kuvaa hayo masweta ya ccm.
View attachment 1306251
View attachment 1306252

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,

View attachment 1306255

lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku
tapatalk_1574537881507.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom