Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Wameamua kuwatia umasikini ulio topea kabisa sasa wataanza kuvaa magomeSare ambazo miaka yote zinagawiwa bure , ghafla zinaanza kuuzwa unaona ni jambo dogo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameamua kuwatia umasikini ulio topea kabisa sasa wataanza kuvaa magomeSare ambazo miaka yote zinagawiwa bure , ghafla zinaanza kuuzwa unaona ni jambo dogo ?
Imekuuma
Nyie mnaoendelea kugawa bure mbona Wilayani hazizidi 10
Fikiria mleta mada ndio mwana mikakati ya ushindi hapo chadema na hii ni moja ya mikakati hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆Namuonea huruma sana huyo jamaa yangu maana bajeti ya nguo hakuwa nayoView attachment 1306461
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana !
Kumbe unamjua huyu wa Mwandiga vizuri? Mie sihangaiki naye siku hizi maana namuona kama dish limekumbwa na dhahma kidogoNdiyo maana hata wewe lumumba wa mwandiga umechangiaView attachment 1306460
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unamjua huyu wa Mwandiga vizuri? Mie sihangaiki naye siku hizi maana namuona kama dish limekumbwa na dhahma kidogo
Duh!! 😆😆😆 hiyo midabwada nimecheka mno !Umasikini ni mzigo na Mimi nauchukia kutoka ROHONI. Hivi uliwahi kuona kiongozi yeyote wa CCM amevaa hayo masanda ya kijani yanayogawiwa bure? CCM viongozi wanajishonea sare au wanavaa sare grade One huku wengine wakigawiwa midabwada. Vyama vingine huwezi tofautisha kati ya mwanachama wa kawaida na kiongozi. Kweli CCM ina wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo jibu sahihi,walidhani wakisomesha namba wengine nao itawaacha salama.Huwezi ukausha mto ukuleteao maji ukapata maji