CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

View attachment 1306251
View attachment 1306252

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,

View attachment 1306255

lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku
Tabu ya ninii?
Kofia au skafu hazitoshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katuhabarisha tu naona wewe ndio umeumia, Maana kuna viongozi huku mtaani walikuwa wanazikusanya halafu wanauza bukubuku. Mimi kwamaono yangu isijekuwa watu wanataka kutakatisha pesa, wanapiga pesa za serikali zinatumika kwenye kampeni, uchaguzi ukiisha wakaguzi wakitaka kujua gharama/chanzo cha pesa za mabilioni yaliyotumika kwenye uchaguzi, uuzaji wa sare za chama utatajwa kama chanzo kimoja wapo.

100%
 
Wewe mwanamke ni mpumbavu sana
View attachment 1306251
View attachment 1306252

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,

View attachment 1306255

lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sare ambazo miaka yote zinagawiwa bure , ghafla zinaanza kuuzwa unaona ni jambo dogo ?
Uongi Chama hakijawahi gawa sare kwa mtu sare Ni watu binafsi ndio waliokuwa wakiuza ndio masna huwezi ona zinazofanana.Kilichokuwa kinatokea Ni wagombea wa nafadi mbali mbali kununua hizo sare kwa wafanyabiashara na kuzigawa bure kwa wafuasi wao maeneo wanayogombea.

Unakuta diwanii ,mbunge au mgombea uraisi akitanya hivyo kwa gharama zake sio za Chama.

Kwa hili Kuna upotoshaji si kweli kuwa Chama kilikuwa kikinunua sare Kama Kuna mwizi ndani ya Chama anasema Chama kilinunua sare na kugawa Ni vizuri huyo mnunuzi apelekwe takukuru
 
Kwahyo bashiru nae mwongo au haijui ccm kama wanaccm wanavosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom