CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

Uongi Chama hakijawahi gawa sare kwa mtu sare Ni watu binafsi ndio waliokuwa wakiuza ndio masna huwezi ona zinazofanana.Kilichokuwa kinatokea Ni wagombea wa nafadi mbali mbali kununua hizo sare kwa wafanyabiashara na kuzigawa bure kwa wafuasi wao maeneo wanayogombea.

Unakuta diwanii ,mbunge au mgombea uraisi akitanya hivyo kwa gharama zake sio za Chama.

Kwa hili Kuna upotoshaji si kweli kuwa Chama kilikuwa kikinunua sare Kama Kuna mwizi ndani ya Chama anasema Chama kilinunua sare na kugawa Ni vizuri huyo mnunuzi apelekwe takukuru
Kwamba Bashiru anaidanganya dunia ? unataka kutudanganya kwamba ccm kama chama hakikuwahi kutoa sare zake bure hadi wagombea wajitolee , labda kama utakuwa mwehu .
 
na bahati mbaya sisi CCM tumezoea kugawiwa bure

kadi za uanachama huwa tunalipiwa na madiwani na wabunge wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jiulize mfano wale wagogo wa jimbo lamtera kule,mpwpwa,mbinga kule ,wazaramo dar wanauwezo wakununua kweli sare .nimbinu ccm wanataka kuchota fedha zauchaguzi sehemu sasa wanaaza kutafuta maeneo yakufichia fedha zitakazochotwa pahala serikalini...utasikia tu mfuko umetuna kwasababu tumeuza sare badala ya kugawa.tumepata fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Bashiru anaidanganya dunia ? unataka kutudanganya kwamba ccm kama chama hakikuwahi kutoa sare zake bure hadi wagombea wajitolee , labda kama utakuwa mwehu .
CCM haijawahi ndio maana hata ukizitazama sare za CCM huwa sio sare za Aina moja zenye mshono Aina moja Kama za Chadema .

Za Chadema ukiziangalia unaona zotebzinafana kwa kila kitu unajua Kuna myi kapewa tenda na Chama apige pesa kwa kushirikiana na mwenyekiti Taifa apige hela ya tenda

CCM nenda hata pale Ofisi za CCM lumumba wako wajasiliamali kibao bao huuza nguo za CCM kila mtu na design yake Ni order yako.

Wagombea walikuwa wakinunulia watu wao Kama sehemu ya kampeni yao wenyewe.Hakuna kusema Chama kiliwaomba wanunue duka la mchaga fulani Kama Chadema wananunua popote na hakuna aliyekuwa akilazimishwa
 
CCM haijawahi...
kwa ivo unataka kusema kwamba Bashiru anazua?

Hao watu wanaogawa sare si wana CCM na hizo sare si huwa za CCM, sasa unaposema kwamba CCM huwa haigawi sare bure unamaanisha CCM ni nini?

Mara kibao Sare za CCM kutoka makuu huletwa mikoani wewe unasemaje kwamba CCM haijawahi kuchapisha na kugawa sare zake bure?
 
Sare hununuliwa na wagombea wao nndio huzigawa bure kwa wapambe wao na wao huzinunua popote

Weka despatch hapa iliyoleta hizo sare mikoani na tueleze Nani aliyekuwa mgawaji bure wa hizo sare

Chadema kwenu mumepigwa pesa ya sare na bado 2020 mtamkoma Mbowe kila mwanachama atatakiwa anunue sare kwake
 
Ukikutwa na lundo la khanga TAKUKURU hao !
 
Back
Top Bottom