Mbowe bhana! Na joto lote la dar akawafunika wenzie na masweta.Hahahaaa....... Umenikumbusha yale masweta ya Chadema mliyovalishwa na Mbowe kwenye uchaguzi wenu!
Hahahaaa.......!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] safari hii hakuna vitenge vya bure nenda kanunue ujenge chamaKwako umeona Habari kuubwa Kwenu Chadema!!
Kwa hiyo 2020 mtaendelea kupewa kanga na vitenge?Mtoa mada ni kiongozi chadema.... Anatekeleza kazi yake ipasavyo.... Hongera kwake
Kazi ipi sasa mkuu , humuamini Kiongozi shupavu na msomi aliyetukuka Dr Bashiru ?Mtoa mada ni kiongozi chadema.... Anatekeleza kazi yake ipasavyo.... Hongera kwake
Nakuamini ww mkuu kiongozi uliyetukuka zaidi...Kazi ipi sasa mkuu , humuamini Kiongozi shupavu na msomi aliyetukuka Dr Bashiru ?
Mi si mwanachama wa chama chochote...
Nenda Chadema utapewa Sweta na kofia nyekundu bure kabisa!Sasa WANYONGE wezangu tuliokuwa tumezowea kuvalishwa kila uchaguzi unapofika tutavaa nini sasa?
Wewe kila vazi la mikono mirefu ni sweta! Kila kilicho cha mkono mrefu ni sweta! Hata kule chini ngozi isipokatwa na kuwa ndefu ni 'mkono wa sweta'!
Astaghafillulah !Wewe kila vazi la mikono mirefu ni sweta! Kila kilicho cha mkono mrefu ni sweta! Hata kule chini ngozi isipokatwa na kuwa ndefu ni 'mkono wa sweta'!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sare ambazo miaka yote zinagawiwa bure , ghafla zinaanza kuuzwa unaona ni jambo dogo ?
kuna mpango wa kufanya kama vitambulisho vya wamachinga
View attachment 1306251
View attachment 1306252
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,
View attachment 1306255
lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku
Kwako umeona Habari kuubwa Kwenu Chadema!!
Rostam kashituka safari hii hawapi hata mia.Nenda Chadema utapewa Sweta na kofia nyekundu bure kabisa!
Ni WANACHAMA WAO HAWANA NGUVU YOYOTE ILE ZAIDI. .. WAMEBAKI NA MOJA TU YA KUSIFIA TU. ..
WHERE IS POLEPOLE. ..?