Tabu ya ninii?View attachment 1306251
View attachment 1306252
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,
View attachment 1306255
lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku
Acha kupiga porojo, tafuta fedha za kununulia hizo sare!Imekuuma
Nyie mnaoendelea kugawa bure mbona Wilayani hazizidi 10
Katuhabarisha tu naona wewe ndio umeumia, Maana kuna viongozi huku mtaani walikuwa wanazikusanya halafu wanauza bukubuku. Mimi kwamaono yangu isijekuwa watu wanataka kutakatisha pesa, wanapiga pesa za serikali zinatumika kwenye kampeni, uchaguzi ukiisha wakaguzi wakitaka kujua gharama/chanzo cha pesa za mabilioni yaliyotumika kwenye uchaguzi, uuzaji wa sare za chama utatajwa kama chanzo kimoja wapo.
πππππ
View attachment 1306251
View attachment 1306252
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally ,
View attachment 1306255
lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi rasmi katika maisha yao ya kila siku
na bahati mbaya sisi CCM tumezoea kugawiwa bureHakuna chama chenye wanachama maskini kama ccm,hilo nichanga moto.labda wauze shilingi 100
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ sasa kama umeamua kumtukana Bashiru kupitia mimi basi sawa .
Uongi Chama hakijawahi gawa sare kwa mtu sare Ni watu binafsi ndio waliokuwa wakiuza ndio masna huwezi ona zinazofanana.Kilichokuwa kinatokea Ni wagombea wa nafadi mbali mbali kununua hizo sare kwa wafanyabiashara na kuzigawa bure kwa wafuasi wao maeneo wanayogombea.Sare ambazo miaka yote zinagawiwa bure , ghafla zinaanza kuuzwa unaona ni jambo dogo ?
Tenda alimpa Nani?Shigongo alipata tenda ya t-shirt 2015, hadi leo hajalipwa.. what do you expect?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alilia vibaya sana baada ya kupigwa puu na awamu ya 5Shigongo alipata tenda ya t-shirt 2015, hadi leo hajalipwa.. what do you expect?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo bashiru nae mwongo au haijui ccm kama wanaccm wanavosemaUongi Chama hakijawahi gawa sare kwa mtu sare Ni watu binafsi ndio waliokuwa wakiuza ndio masna huwezi ona zinazofanana.Kilichokuwa kinatokea Ni wagombea wa nafadi mbali mbali kununua hizo sare kwa wafanyabiashara na kuzigawa bure kwa wafuasi wao maeneo wanayogombea.
Unakuta diwanii ,mbunge au mgombea uraisi akitanya hivyo kwa gharama zake sio za Chama.
Kwa hili Kuna upotoshaji si kweli kuwa Chama kilikuwa kikinunua sare Kama Kuna mwizi ndani ya Chama anasema Chama kilinunua sare na kugawa Ni vizuri huyo mnunuzi apelekwe takukuru
Alilia vibaya sana baada ya kupigwa puu na awamu ya 5
Yawezekana Kuna wezi walioiba hela za CCM kabla hajaingia walimdanganya kuwa CCM huwa inanunua sare na kugawia watu bure .