Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #81
Kwamba Bashiru anaidanganya dunia ? unataka kutudanganya kwamba ccm kama chama hakikuwahi kutoa sare zake bure hadi wagombea wajitolee , labda kama utakuwa mwehu .Uongi Chama hakijawahi gawa sare kwa mtu sare Ni watu binafsi ndio waliokuwa wakiuza ndio masna huwezi ona zinazofanana.Kilichokuwa kinatokea Ni wagombea wa nafadi mbali mbali kununua hizo sare kwa wafanyabiashara na kuzigawa bure kwa wafuasi wao maeneo wanayogombea.
Unakuta diwanii ,mbunge au mgombea uraisi akitanya hivyo kwa gharama zake sio za Chama.
Kwa hili Kuna upotoshaji si kweli kuwa Chama kilikuwa kikinunua sare Kama Kuna mwizi ndani ya Chama anasema Chama kilinunua sare na kugawa Ni vizuri huyo mnunuzi apelekwe takukuru
Hivi jiulize mfano wale wagogo wa jimbo lamtera kule,mpwpwa,mbinga kule ,wazaramo dar wanauwezo wakununua kweli sare .nimbinu ccm wanataka kuchota fedha zauchaguzi sehemu sasa wanaaza kutafuta maeneo yakufichia fedha zitakazochotwa pahala serikalini...utasikia tu mfuko umetuna kwasababu tumeuza sare badala ya kugawa.tumepata fedhana bahati mbaya sisi CCM tumezoea kugawiwa bure
kadi za uanachama huwa tunalipiwa na madiwani na wabunge wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM haijawahi ndio maana hata ukizitazama sare za CCM huwa sio sare za Aina moja zenye mshono Aina moja Kama za Chadema .Kwamba Bashiru anaidanganya dunia ? unataka kutudanganya kwamba ccm kama chama hakikuwahi kutoa sare zake bure hadi wagombea wajitolee , labda kama utakuwa mwehu .
kwa ivo unataka kusema kwamba Bashiru anazua?CCM haijawahi...
kwa ivo unataka kusema kwamba Bashiru anazua?
Hao watu wanaogawa sare si wana CCM na hizo sare si huwa za CCM, sasa unaposema kwamba CCM huwa haigawi sare bure unamaanisha CCM ni nini?
Mara kibao Sare za CCM kutoka makuu huletwa mikoani wewe unasemaje kwamba CCM haijawahi kuchapisha na kugawa sare zake bure?
Ukikutwa na lundo la khanga TAKUKURU hao !Sare hununuliwa na wagombea wao nndio huzigawa bure kwa wapambe wao na wao huzinunua popote
Weka despatch hapa iliyoleta hizo sare mikoani na tueleze Nani aliyekuwa mgawaji bure wa hizo sare
Chadema kwenu mumepigwa pesa ya sare na bado 2020 mtamkoma Mbowe kila mwanachama atatakiwa anunue sare kwake