Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unataka ccm ya akina sabayaKisu kimegusa mfupa.
mataga mmeanza kuharisha damu mapema saaana 🤣 🤣 🤣Sounds like your fuvkn matacle
Halafu Kama hujui bro mama ndio rais wa mwisho wa CCM na anampango maalum wa kuleta katiba mpya itakayoizika CCM mazima baaada ya hapo atatambulika Kama Shujaa milele na cheo Cha mama wa taifa thenAcha chama kimfie, atakua tais wa kwanza kufeli na historia itamkumbuka hivyo!!!
We kiumbe ni mchawi wa kutupwa aisee. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Sema una kioja sio hoja.Ahaaaa. Nafikiri hujaelewa mantiki ya hoja yangu. Kama taifa hatutakiwi kukumbatia wanasiasa wajaza matumbo.
Wewe ndio huna akili timamu.Ni dhahiri hauna akili timamu.
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Chadema haifai inaliombea mabaya taifa letu kila mara sio watu wa kuwakumbatia kabisa.
Kufa ukaungane na mkuu wa malaika kule, hapa pameumanaNarudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.
Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?
Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.
My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Mna hali mbaya, mnaharisha! Mlishangilia ule mkeka wa ma-DC, sasa hivi kilio kimerudi! Mtaishi kwa mateso kwa maisha yenu yote, na mkifa mtaenda motoni mkendelee na mateso, karangaishuga nyie!amini nakwambia.
taja kada mmoja aliyetarajia udc akaukosa.Mna hali mbaya, mnaharisha! Mlishangilie ule mkeka wa ma-DC, sasa hivi kilio kimerudi! Mtaishi kwa mateso kwa maisha yenu yote, na mkifa mtaenda motoni mkendelee na mateso, karangaishuga nyie!
Si mlishangilia kina Nasari na mamluki wengine wa CHADEMA kuteuliwa?! Sasa hukumu haramu walizoshinikizwa majaji zimepanguliwa, na hapa mnaharisha! Lagacy vipande vipande, panyabuku elfu moja, nyie sukumagang!taja kada mmoja aliyetarajia udc akaukosa.
legacy ya magufuli ni ngumu kuiondoa kama ilivyo ya yesu,ndip sababu hata wewe bado inakutafuna,hujisikii kutulia bila kumtaja.Si mlishangilia kina Nasari na mamluki wengine wa CHADEMA kuteuliwa?! Sasa hukumu haramu walizoshinikizwa majaji zimepanguliwa, na hapa mnaharisha! Lagacy vipande vipande, panyabuku elfu moja, nyie sukumagang!
Si ulimshangilia mama kwenye mkeka wa ma-DC? Unalia nini sasa, mmepigwa goli, legacy imevunjwa vipande vipande, na bado, kila sukumagang ataishi na haya maumivu kwa muda wote hapa duniani, na mkifa ni mtotoni, maalabuku!Acha hasira kamanda.
Insanity.Si ulimshangilia mama kwenye mkeka wa ma-DC? Unalia nini sasa, mmepigwa goli, legacy imevunjwa vipande vipande, na bado, kila sukumagang ataishi na haya maumivu kwa muda wote hapa duniani, na mkifa ni mtotoni, maalabuku!