CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

cencer09

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
5,159
Reaction score
3,318
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.

Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.

Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.

Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.

Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.

Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.

Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.

BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.

Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
 
Chademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe

Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
Screenshot_20250510-233929_1.jpg
 
Hakika. Samia hana jema la kujivunia katika uwepo wake wa hapa Duniani. Damu nyingi zinamlilia, mikono yake imejaa damu za wanadamu wenzake wasio na hatia.

Kugawa mitungi ya gas na pikipiki, kamwe haiwezi kuzika uovu mkubwa wa kuupoteza uhai wa binadamu wenzake, uhai ambao hana uwezo wa kuutengeneza, lakini anaamini ana uwezo wa kuuondoa.

Mungu wetu tunaomba, umwoneshe yeye na wote wanaoshiriki kudhulumu uhai na haki za wanadamu wengine, kuwa wewe ni mkuu kuliko yeyote mwenye kupewa uhai.
 
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.

Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.

Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.

Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.

Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.

Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.

Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.

BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.

Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
 
Attachments

  • IMG-20250510-WA0008.jpg
    IMG-20250510-WA0008.jpg
    92.6 KB · Views: 39
Mikono yao imejaa damu kuanzia wao hadi yule aliyepita kuua watu kufunga kwenye masandarusi uwatupe ziwani,kupeleka watu kusikojulikana.Hivi hamuwezi atleast kuiga kwa JK mbona watu walikuwa wanaongea na alikuwa hana habari nao alikuwa Rais anayejiamini na anayeamini katika madaraka yake.CCM hii kitu itakuja kwagharimu one day watu wanaweka visasi na kadri mnavyozidi kuua ndivyo mnavizidi kuharibu jina lenu ni swala la muda tu
 
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.

Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.

Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.

Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.

Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.

Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.

Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.

BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.

Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
Huyu dictatress wa kwanza ni hatari nawaambia!
 
Back
Top Bottom