DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Dikiteta chizi yupo CDM na ana delete chamaYaani unamaanisha dikteta chizi?
, hii inaitwa EXODUS ya werevu
Dikiteta chizi yupo CDM na ana delete chamaYaani unamaanisha dikteta chizi?
Hii inaprove Samia siyo dikteta wa kwanza mwanamke Afrika?EXODUS inaendelea, and the best is yet to come
Kwa hiyo huyu dikteta wa kwanza mwanamke Afrika ni dikteta mwerevu? Anaimarisha CCM?
unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa gynephobia/sexism/misogynist/misogynistic ni mental condition, ukiwahi inatibika.Kwa hiyo huyu dikteta wa kwanza mwanamke Afrika ni dikteta mwerevu? Anaimarisha CCM?
kwa hizo psychotic hallucinations zinazokusumbua, utaishi wapi? labda uende kwa ndugu zenu wa nchi za EU, sababu bado yupo mpaka 2030Kwa hiyo huyu dikteta wa kwanza mwanamke Afrika ni dikteta mwerevu? Anaimarisha CCM?
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.
Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.
Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.
Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.
Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.
Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.
Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.
BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.
Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM

Umeacha moja. Ambaye hakuchaguliwaUkimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.

Tundu kakamatwa kwa kutaka kuhamasisha uasi. Next time Aache kuropoka. Mbona sisi majority ya raia zaidi ya 55m tunaishi raha kabisa. Amani muhimu rais kapewa dhamana kulinda nchi.Very true
Prove it's psychotic hallucinations? Hiki ni kiwango cha juu cha upumbavu kwa kufikiri ukitumia terminologies hizo unaweza kumintimidate mwenye akili timamu.kwa hizo psychotic hallucinations zinazokusumbua, utaishi wapi? labda uende kwa ndugu zenu wa nchi za EU, sababu bado yupo mpaka 2030
Spot on mkuu asante kwa kunikumbushaUmeacha moja. Ambaye hakuchaguliwa
Bora matusi kuliko kuteka na kuuaChademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe
Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
View attachment 3330938
Sishangai wapumbavu wako wengi, na tatizo la wapumbavu hawapendi mtu mwenye akili timamu azungumze hoja zenye kufikirisha.Tundu kakamatwa kwa kutaka kuhamasisha uasi. Next time Aache kuropoka. Mbona sisi majority ya raia zaidi ya 55m tunaishi raha kabisa. Amani muhimu rais kapewa dhamana kulinda nchi.
Wewe ukiongea chumbani na mumeo kuwa unataka kufanya uasi nyumbani kwako hakuna mtu atajali.
Lakini stoke public utamke unataka uasi. Basi fahamu wapo watu wsmeajiriwa kuzuia wahuni kufanya uasi au uhaini.
Hawa huwa hawasubiri amri ya Rais.
Watakukamata tu.
Ukìba polisi watakushika na hawataki ruhsa ya Rais.
Tundu ameamua kufanya uhaini atajibu mahakamaji
Prove it's psychotic hallucinations? Hiki ni kiwango cha juu cha upumbavu kwa kufikiri ukitumia terminologies hizo unaweza kumintimidate mwenye akili timamu.
Samia Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke dikteta Afrika, na sababu nimekupa jadili usiniletee mipasho ya Hadija Kopa maana wanaume wote wa CCM ni wanamipasho hamna hoja na mmefyata mkia kwa dikteta wa Kizimkazi.
EU ni ndugu zenu sawa kabisa maana nyie wanaume wa CCM watanganyika wanauliwa, wanatekwa ,wanaporwa uchaguzi kama ilivyotokea 2024 mnavaa khanga mnaimba tu mama anaupiga mwingi. Ndugu zetu wameinuka kututetea, time will tell tuone dikteta wa Kizimkazi kuwepo hadi2030

Sishangai wapumbavu wako wengi, na tatizo la wapumbavu hawapendi mtu mwenye akili timamu azungumze hoja zenye kufikirisha.
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 uliporwa hadi mchakato wake unataka wenye akili wakae kimya.
Ali Kibao, Mdude CHADEMA kwa uchache wametekwa na kwa Ali Kibao akauliwa na kutupwa na Mdude haonekani unataka wenye akili timamu wakae kimya.
Hayo ni machache tu. Unaweza ukawa mpumbavu basi ficha usionekane kwa wenye akili
CCM imetengeneza rais dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, usisahau hiliView attachment 3331737
EXODUS ctd
every President is a "perceived dictator" to minority, and in every political party there are leaders who are perceived or real dictators. The EXODUS of CDM senior members have the same story, they are fleeing their own party political repression (dictatorship)CCM imetengeneza rais dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, usisahau hili