DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
..na nyie mbaki tu huko CDM, komaeni kimageuzi "no retreat no surrender "Waende tuuu
2030 mnaingia kwa game...na nyie mbaki tu huko CDM, komaeni kimageuzi "no retreat no surrender "Waende tuuu
2030 mnaingia kwa game.Kwenda zako hukoUkimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.
Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.
Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.
Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.
Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.
Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.
Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.
BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.
Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.

#SamiaMustGo!!!!Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.

Unajua hoja hupingwa kwa hoja, tatizo la CCM mlishazoeshwa kudumisha fikra sahihi za mwenyekiti. Naomba nionyeshe wapi nilipotukana na wapi nilipotoa hoja ya kutunga mheshimiwaChademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe
Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
View attachment 3330938
Umekuwasha eeh! Subiri na upupu mwingine kutoka EU huo hauwashi bali unachoma endeleeni kushupaza shingo na kuwapoteza akina MdudeHiyo akili na nguvu uliyotumia kuandika huu upupu ungeitumia kujitafutia maendeleo ungekuwa mbali.
Na sidhani kama anajua ya kwamba huwezi kupiga na wakati, wakati ukuta mazingira ya sasa angekaa chini akubaliane na upepo huu wa mabadiliko. Si risasi wala vifaru vitakavyoweza kumzuia wakati.Kutojiamini,kutisha wanyamaze, intolerance/kukosa uvumilivu,kuidekea katiba mbovu,ushauri mbovu,kukomoa,uoga na kiwewe.
Na iwe hivyoHakika. Samia hana jema la kujivunia katika uwepo wake wa hapa Duniani. Damu nyingi zinamlilia, mikono yake imejaa damu za wanadamu wenzake wasio na hatia.
Kugawa mitungi ya gas na pikipiki, kamwe haiwezi kuzika uovu mkubwa wa kuupoteza uhai wa binadamu wenzake, uhai ambao hana uwezo wa kuutengeneza, lakini anaamini ana uwezo wa kuuondoa.
Mungu wetu tunaomba, umwoneshe yeye na wote wanaoshiriki kudhulumu uhai na haki za wanadamu wengine, kuwa wewe ni mkuu kuliko yeyote mwenye kupewa uhai.
Wamesababisha niuchukie na muumgano wao yaani chura kiziwi wa Kizimkazi anapata nguvu ya kuja kutuua watanganyika na CCM wanampongeza anaupiga mwingi eti? Haiingii akiliniCCM mnaua Watanganyika wenzenu ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika
Ndiyo hulka ya madikteta na wanaume wote ndani ya CCM wameufyata kimya. Mmoja mmoja wamesemea chini mwisho wanaugulia moyoni. Wanaume wa CCM kweli wamepatwa wote wanapiga vigelegele mama anaupiga mwingi bado wavalishwe vilembaDikteta amejiteua ndani ya chama kuwa mgombea urais 2025.
😂😂😂😂Hiyo pia ni historia
🙏Kwahiyo CCM inajivunia Dikteta wa pili mwanamke Duniani baada ya yule Shehe Hasina wa Bangladesh
Yaani unamaanisha dikteta chizi?Bora angekuwa dikteta mwenye akili
Unataka kusema hoja hizi za mleta mada ni uongo? Basi tuwekee ukweliChademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe
Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
View attachment 3330938
I
When? your CDM have already gone for good, do u need a company of Europeans (EU) homosexuals?#SamiaMustGo!!!!
😇I wonder, hii ya "No reform, No Election" mmeshaachana nayo, ndyo mmekuja na hii mpya (#SamiaMustGo)#SamiaMustGo!!!!
pls be consistent.TAL ni intelligent dictator?, EXODUS ya vigogo wa CDM is embarrassingTena dikiteta kilazaa!