Ningeshangaa ungepinga😂😂Sipingii!
Acha udikteta sasa!Hiyo akili na nguvu uliyotumia kuandika huu upupu ungeitumia kujitafutia maendeleo ungekuwa mbali.
Mungu fundi sana, kuna namna anataka kutusaidia wananchi wanyonge...ngoja tuvute subra kdg!Chademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe
Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
View attachment 3330938
Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.
Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.
Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.
Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.
Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.
Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.
Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.
BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.
Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
Huyu dictatress wa kwanza ni hatari nawaambia!Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa.
Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa.
Mpinzani wake wa chama kikuu cha upinzani Tundu Lissu amemkamata na kumfungulia mashitaka ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa. Pia alimfungulia mashitaka ya ugaidi aliyekuwa kiongozi wa upinzani mara tu alipotwaa madaraka baada ya kufa kwa JPM.
Ni yeye very cold bila hisia aliyesema kifo cha Ali Kibao aliyetekwa mchana kweupe na kuuliwa kwa acid na kwenda kutupwa huko ununio kuwa ni kifo cha kawaida. Na mpaka sasa hakuna uchunguzi wala aliyekamatwa kuhusiana na utekaji huo.
Ni yeye amiri jeshi mkuu ambaye hajakemea polisi kupiga, kuteka, kuua, kuwavunja miguu na kuua wananchi na viongozi wa CHADEMA waliokwenda kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu mahakama ya Kisutu.
Hajazungumzia kupotea kwa akina Soka na wenzie.
Aliyebariki kwa afande Mafyele aliyetambuliwa na Sativa kuhusika kumteka na jaribio la kumuua kisha kumtupa huko katavi. Mpaka sasa mafwele yuko kazini akiendelea kupoteza watu Samia kimya.
Aliyebariki wizi wa kura wa 2024 na ambaye yuko tayari kuua, kutesa ili kupata nafasi ya kuiba tena kura kwa kupinga reform ya aina yeyote itakayotishia kubaki kwake madarakani.
BAWACHA waliwahi kuimba hakuna muuaji kama Samia kiongozi wao akatekwa akapokea kipondo kutoka kwa watu wa Samia na kutupwa porini asirudie.
Huyu ndiye dikteta wa kwanza mwanamke Afrika aliyepikwa na CCM
Nilikudharau rasmi juzi uliposhindwa kujua maana ya sarcasm. Tate Mkuu ni mtupu sana kichwani.Acha udikteta sasa!
Hiyo pia ni historiaDikteta amejiteua ndani ya chama kuwa mgombea urais 2025.