CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

Very true
 
CHADEMA KUNA DIKTETA WA KIUME
 
 
Dikteta amejiteua ndani ya chama kuwa mgombea urais 2025.
Katiba iliyomweka madarakani aliita hicho kijitabu tu. Hata ccm wenzake hawamkubali alihadaa wananchi nakujifanya walienda kumteua Makamu mwenyikiti Babu la kusinzia. Kumbe ni mchongo tu ajenda ilikuwa kwenda kujiteua yeye pekee yake kuwa mgombea Uraisi 2025-2030. Watanganyika kwa ujinga wetu tumekuwa machawa mama tumepigwa na mzanzibari tukio na kitu zito
 

Attachments

  • IMG-20250507-WA0005.jpg
    27.1 KB · Views: 18
Bora angekuwa dikteta mwenye akili
 
NAKAZIA.
 
Akipewa mitano tena, katika hiyo mitano mmepanga aue watanganyika wangapi?
Jiliwaze kidogo na kamuziki hapo chini, usijitese na mambo ambayo huna uwezo wa kuyabadilisha.
Your browser is not able to display this video.

The World is Living, Suffering is Your Choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…