CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

Kwenda zako huko
Muongo mkubwa wewe
 
 
#SamiaMustGo!!!!
 
Chademu Ukitoa Matusi Na Habari Za Kutunga Hawana Hoja Nyingine Ya Kushawish WaTZ Wawaelewe

Haya Subiri quotes za matusi hapo chini utaamini nisemacho 🤣
View attachment 3330938
Unajua hoja hupingwa kwa hoja, tatizo la CCM mlishazoeshwa kudumisha fikra sahihi za mwenyekiti. Naomba nionyeshe wapi nilipotukana na wapi nilipotoa hoja ya kutunga mheshimiwa
 
Hiyo akili na nguvu uliyotumia kuandika huu upupu ungeitumia kujitafutia maendeleo ungekuwa mbali.
Umekuwasha eeh! Subiri na upupu mwingine kutoka EU huo hauwashi bali unachoma endeleeni kushupaza shingo na kuwapoteza akina Mdude
 
Kutojiamini,kutisha wanyamaze, intolerance/kukosa uvumilivu,kuidekea katiba mbovu,ushauri mbovu,kukomoa,uoga na kiwewe.
Na sidhani kama anajua ya kwamba huwezi kupiga na wakati, wakati ukuta mazingira ya sasa angekaa chini akubaliane na upepo huu wa mabadiliko. Si risasi wala vifaru vitakavyoweza kumzuia wakati.
 
Na iwe hivyo
 
CCM mnaua Watanganyika wenzenu ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika
Wamesababisha niuchukie na muumgano wao yaani chura kiziwi wa Kizimkazi anapata nguvu ya kuja kutuua watanganyika na CCM wanampongeza anaupiga mwingi eti? Haiingii akilini
 
Dikteta amejiteua ndani ya chama kuwa mgombea urais 2025.
Ndiyo hulka ya madikteta na wanaume wote ndani ya CCM wameufyata kimya. Mmoja mmoja wamesemea chini mwisho wanaugulia moyoni. Wanaume wa CCM kweli wamepatwa wote wanapiga vigelegele mama anaupiga mwingi bado wavalishwe vilemba
 
#SamiaMustGo!!!!
😇I wonder, hii ya "No reform, No Election" mmeshaachana nayo, ndyo mmekuja na hii mpya (#SamiaMustGo) pls be consistent.
My lovely advice is, pls first deal with your internal party predicaments i.e cannibalisim
 

Attachments

  • instagram_20250511_184550.mp4
    7.5 MB
  • instagram_20250511_175056.mp4
    10.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…