CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

Kwa hiyo huyu dikteta wa kwanza mwanamke Afrika ni dikteta mwerevu? Anaimarisha CCM?
unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa gynephobia/sexism/misogynist/misogynistic ni mental condition, ukiwahi inatibika.
Ndani ya CDM, kuna exodus ya senior members kwa sababu ya "dictatorship" ya TAL
 
Kwa hiyo huyu dikteta wa kwanza mwanamke Afrika ni dikteta mwerevu? Anaimarisha CCM?
kwa hizo psychotic hallucinations zinazokusumbua, utaishi wapi? labda uende kwa ndugu zenu wa nchi za EU, sababu bado yupo mpaka 2030
 
 
 
Umeacha moja. Ambaye hakuchaguliwa
 
Very true
Tundu kakamatwa kwa kutaka kuhamasisha uasi. Next time Aache kuropoka. Mbona sisi majority ya raia zaidi ya 55m tunaishi raha kabisa. Amani muhimu rais kapewa dhamana kulinda nchi.
Wewe ukiongea chumbani na mumeo kuwa unataka kufanya uasi nyumbani kwako hakuna mtu atajali.
Lakini stoke public utamke unataka uasi. Basi fahamu wapo watu wsmeajiriwa kuzuia wahuni kufanya uasi au uhaini.
Hawa huwa hawasubiri amri ya Rais.
Watakukamata tu.
Ukìba polisi watakushika na hawataki ruhsa ya Rais.
Tundu ameamua kufanya uhaini atajibu mahakamaji
 
kwa hizo psychotic hallucinations zinazokusumbua, utaishi wapi? labda uende kwa ndugu zenu wa nchi za EU, sababu bado yupo mpaka 2030
Prove it's psychotic hallucinations? Hiki ni kiwango cha juu cha upumbavu kwa kufikiri ukitumia terminologies hizo unaweza kumintimidate mwenye akili timamu.
Samia Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke dikteta Afrika, na sababu nimekupa jadili usiniletee mipasho ya Hadija Kopa maana wanaume wote wa CCM ni wanamipasho hamna hoja na mmefyata mkia kwa dikteta wa Kizimkazi.
EU ni ndugu zenu sawa kabisa maana nyie wanaume wa CCM watanganyika wanauliwa, wanatekwa ,wanaporwa uchaguzi kama ilivyotokea 2024 mnavaa khanga mnaimba tu mama anaupiga mwingi. Ndugu zetu wameinuka kututetea, time will tell tuone dikteta wa Kizimkazi kuwepo hadi2030
 
Sishangai wapumbavu wako wengi, na tatizo la wapumbavu hawapendi mtu mwenye akili timamu azungumze hoja zenye kufikirisha.

Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 uliporwa hadi mchakato wake unataka wenye akili wakae kimya.

Ali Kibao, Mdude CHADEMA kwa uchache wametekwa na kwa Ali Kibao akauliwa na kutupwa na Mdude haonekani unataka wenye akili timamu wakae kimya.

Hayo ni machache tu. Unaweza ukawa mpumbavu basi ficha usionekane kwa wenye akili
 
 
Your browser is not able to display this video.

EXODUS ctd
 
CCM imetengeneza rais dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, usisahau hili
every President is a "perceived dictator" to minority, and in every political party there are leaders who are perceived or real dictators. The EXODUS of CDM senior members have the same story, they are fleeing their own party political repression (dictatorship)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…