CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

Haha, nguvu kutoka kaburini? Acha kujilisha ujinga, marehemu ashasahaulika, watu wanasonga mbele. Alikuwepo Nyerere, alikufa na watu wakamove forward, sembuse hilo fisadi lenu ambalo kakirusi kamafua tu kamemlaza futi 6 chini?
Wapumliwa visogoni kama wewe wanamsahau vipi venye aliwanyoosha? jitu halina vyeti limekalia kazi za watu haliwezi kumpenda, asiwe na nguvu mkeshe kutukana mwe.hu wewe?
 
Pole Sana kweli umeongea kwa hisia
 
Jinga wewe!
Pimbi usiyekijua chama.
Ben Saanane aliuwawa kwa sera zipi za Chama?
Kinana , Makamba na Nape wakidhalilishwa na Magufuli ni msimamo upi wa Chama.
Wewe Ole ukiwanyanyasa Mbowe na wafanyabiashara, ndio msimamo wa Chama?
Pambaf kabisa!
Wizi na uporaji Bureu De Change Arusha, ni sera za Chama chako?
 
Wapumliwa visogoni kama wewe wanamsahau vipi venye aliwanyoosha? jitu halina vyeti limekalia kazi za watu haliwezi kumpenda, asiwe na nguvu mkeshe kutukana mwe.hu wewe?

Duniani kutesa kwa zamu bwashee. Hata akina Kikwete, Kinana, January Makamba na Nape walipambana kumuweka Magufuli madarakani lakini baadae waliisoma namba kwa miaka mitano.

Sasa ni zamu kuisoma namba, kama vipi hameni chama ,anzisheni SUKUMA GANG DICTATOR PARTY(SGDP)
 
Pole kwa msiba mzito
 
Pole sana Ole..!! Ebu tuambie, uliipenda CCM ya Nape na Kinana, ya Magufuli au ulimpenda sana Magufuli?
 
Si ufe tu mkuu. Yani kufa tuu utuondolee mzigo!
 
Tunataka kuona jeuri yako bila polisi? Nenda kapige watu tena
 
For how long will you keep on crying over spilled milk? If you can't beat them, join them. We are tired of your lamentations in here. Rot in hell Mataga!
 
Umelia sana kweny hii thread, Pole sana lakini hujaeleza Rais hawasikilizi nyie kwa kitu gan, hujasema. Umepata mateso gan baada huu mwaka? Walimgeuka kwa kipi? Weka ushahid, ameanza kuwaadhibu kivip? Weka ushahid, mwisho kbs ww uliipenda CCM baada ya uchaguz wa 2015 tu na baada JPM kufariki naona kbs huipendi tena CCM hivyo bas ww ulikua ni chawa tuu ulimpenda mtu na sio CCM na itikadi zake, sasa maadam uliyavulia nguo zote tulia kwa pigo la mwili wako likupatalo kwakua ulivua nguo mwenyew. Pole san ndo ukubwa 🤣🤣🤣 siri ya ukubwa ni kuvumilia hata kama inauma sana 🤣🤣🤣🤣
 
Kelele za chura hazijawahi mnyima ng'ombe kunywa maji

View attachment 1783837

Serikali ni ileile ya CCM sasa chini ya Ironlady zao halisi la JPM
Kazi iendelee
JPM muacheni apumzike!! Zao zao era yake imetoweka na hairudi tena milele. For now tunafanya reshuffle hivyo mkae kwa kutulia 🤣🤣
 
Lakini wenzio wa hukohuko wanamchukia na kulaani afanyayo Mama SS

Hilo la kawaida sanaaaaaa
Hata wewe wapo wanaokupenda na wanaokuchukia
Hata mitume walipendwa lakini wapo waliowachukia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…