Jamani biashara ya airline ni kama biashara nyingine.Huwa zina standard zake kwa kila kitu kuanzaia chakula,ulinzi ,usalama ,mavazi nk.Na kuna vyuo au sehemu ya kutoa mafunzo kwa ajili ya vitu vyote vinavyohusiana na biashara ya ndege.Sasa ,mbunge yuko right kabisa,wale wanaoajiriwa wawe katika standards zinazokubalika kutokana na biashara yeneyewe inavyosema mfano wanataka
Physical Standards
Minimum height requirement is 157 cm (for females) and 170 cm (for males). This requirement may differ from one airline to another. Weight of the candidate should be in proportion to his/her weight. Spotless skin complexion will give candidates an edge
OR
- Minimum age: 18 to 21 years, depending on the airline.
- Height: 4ft 11in and 6ft 3in, or 150cm and 190cm, tall. ...
- Weight: Just be a “healthy weight” for your height!
- Reach: 208cm (on tippy-toes if you have to!)
- Vision: 20/30, with or without corrective measures.
Sasa tusidanganyane hizo hapo ni baadhi tu ya standards na hizo zinawekwa ili kuweza kukabiliana pia na majanga yanayotokea kwenye ndege especiaaly kama kuna mtu either mgonjwa na anaitaji kubebwa,or kufunga cabin za ndege unahitaji mtu mrefu nk.So kuwa mrembo au la akifikia hivyo vigezo lazima atameet hiyo ya urembo.Hata namna anavyojiweka .Hivi kweli ukute ameweka "rough dread" au twende kilioni ya ajabu kabisa imefumuka left right au mawigi kama yale ya akina "wema" anafanyaje kazi lazima awe mbaya.Mbunge mimi nakuunga mkono kabisa