CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

Naomba kujua uchaguzi wa mwaka hii Samia mpinzani wake atakua nani?
 
Waliharibu sana!ni vile hujui TU!Kuna ufisadi,uonevu,mauaji,matakwa binafsi!!!

Mfumo ubadilike ajaye asiharibu!!
Gwajimanization, au lisunization, ilikuwepo> kupiga na kulawiti majirani ilikuwepo
 
Huu ni ukweli mweupe.
 
Sa100 ni kilaza, hatumtaki!
 
CCM isambaratishwe na watu ambaonhawapigi kura?
 
Viwanja sio pesa zake acha ujinga
 
Ni kweli kabisa usemayo,, na kama kweli Mama ana nia njema na anataka ushindani wa haki basi akubali mabadiliko ya sheria za uchaguzi,, kushupaza shingo juu ya hili ndio kunazidi kuongeza chuki za watanzania juu yake,, mnatetea msichokijua
 
Samia nadhani hata kuendesha familia yake hawezi .

Nchi kwake ni mzigo mzito.

Ana uwezo mdogo kichwani.
 

no reforms, no election
 
No reform No election
 
Serikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.

Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.
No reforms no elections
 
No reforms no elections
 
Waache, wakatumbukie shimoni au kaburini kabisa na kujizika wenyewe

Mwaka 2020 tulitoa wito wa hivi hivi, kwamba CCM iachane na Bulldozer au Jiwe Pombe Magufuli.

Wakampigia kampeni, wakampamba weee, akaja mzee wa Brussels, Belgium kiboko chake, Tundu Lissu akachuana naye, akampelekesha Jiwe mpaka akawa hawezi kupumua..

Pamoja na Tume yake kumpendelea ktk kila engo, sanduku la kura nalo lilimkataa, alipigwa vibaya ndani ya ballot box na Tundu Lissu..

Kibabe tu, wakamtangaza Pombe Magufuli kuwa ameshinda huku wakijua kuwa ballot box imemkataa. Akajipatia ushindi wa mamlaka ya dhuluma.

Kama nyie kina Lucha chiembe Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Shotocan Dr wa Manesi na wadudu Chawa wengine mnabisha, basi tuonesheni matokeo ya kura za URais ktk uchaguzi mkuu wa 2020 jimbo kwa jimbo tulinganishe kura zake na zilizotangzwa tu na NEC..!

Hayapo kwa NEC haijawahi kuyatangaza kwa sbb inajua ilichakachua..

Matokeo, kwa sababu ya kudhulumu haki ya mamilioni ya Watanzania kuchagua Rais wao, alikaa madarakani kwa miezi miwili akafa kifo cha aibu na cha kizembe kabisa mitaani tu kama kuku mwenye ugonjwa wa gideri!

Huyu naye anapita njia ileile ya Jiwe. Tena hili limama ndilo hatari zaidi, linaua na kumwaga damu waiwazi mchana kweupe.

Imeshaandikwa ukutani "MENE MENE NA TEKERI" kuwa, amepimwa na kuonekana kuwa hatoshi, hafai na ni sumu isiyofaa kwa matumizi..

Huyu akiendelea na kiburi chake na jeuri yake ya kishetani kunywa damu za watu, yeye yake itamwagwa barabarani na mbweha na nyumi wa angani watailamba na baadae mzoga wake mtakwenda kufukia Kizimkazi kabla hata kabla ya November, 2025

Kama amebakiwa na akili hata kidogo, atubu na kutangaza kwa uwazi kabisa kuwa anaenda kupumzika.!
 
Acha kuni mention kwenye pumba muda wa kusoma hilo gazeti haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…