CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

Kwahiyo viongoz wote waliokufa mfano Maalim Seif naye alikua kiongoz muovu ndio maana kafa?

Acha kutetea bana magufuli alikua ni dikteta jambazi jini na ndo maana uwongozi wake haukudumu na ata haya tunayopitia saiv sababu kubwa ni yeye
Apumzke kwa Aman ila CCM iwe funzo kwao wasiludie ujinga ule wa 2015
 
Hao Viongozi ndio CCM inawapenda na Itaendelea kuwaletea sana
 
Akili yako haina akili . Sukuma GANG mnajitahidi sana kutetea maiti, ila Kwa kweli Magufuli asafishiki.
Samia kashituka kawaachia zigo lenu…
Mkuu povu la nini?Kama ni maiti mbona nyuzi za kumponda kila siku?Kwanini msijikite kuelezea mazuri ya huyo Samia?Vipi lini Samia atamwachia huru Mbowe?
 
Mkuu povu la nini?Kama ni maiti mbona nyuzi za kumponda kila siku?Kwanini msijikite kuelezea mazuri ya huyo Samia?Vipi lini Samia atamwachia huru Mbowe?
Hakuna povu mkuu, Tunamponda Magufuli kwa kua ndicho anacho stahili. Maiti amepanda UOVU anavuna UBAYA.
Samia nae atavuna anachopanda haina haraka, Muda utaamua..
 
Hakuna povu mkuu, Tunamponda Magufuli kwa kua ndicho anacho stahili. Maiti amepanda UOVU anavuna UBAYA.
Samia nae atavuna anachopanda haina haraka, Muda utaamua..
Wewe unamponda maiti ni sawa,ila mimi kumtetea maiti si sawa!UNA AKILI TIMAMU?
 
Mitandao ndio inaligharimu taifa kwa kutupa viongozi wabovu na wasiofaa. Viongozi wazuri wanachunga hatua zao na mara nyingi hawapendwi wala kuchangamana na makundi ambayo hayana nia zaidi ya kujijengea uwezo wa kula kwa nafasi keki ya taifa
 
Wewe ndio Jaji wa kujua matendo haramu na sio haramu?Nikipita huko mitaani naona raia wanamlilia, sasa sijui huo uharamu huwa unakaa na family yako kuujua au inakuaje. Hivi hamuoni aibu?
Magufuli ni mkristo, Ameuwa watanzania,
Maandiko yanakataza kuua. AMELAANIWA.
 
5 kumsifia jiwe Ili kesho uletewe v8 na barua ya uteuzi Bashe, Mwigulu, Mollel, Waitara, Chalamila, Hapi, Kihongosi, Gambo, Sabaya, Ndugai, Tulia, Mnyeti, Mtatiro, Kange, Byakanwa
Hakika orodha bado ni kubwa,
 
Acha kutetea bana magufuli alikua ni dikteta jambazi jini na ndo maana uwongozi wake haukudumu na ata haya tunayopitia saiv sababu kubwa ni yeye
Apumzke kwa Aman ila CCM iwe funzo kwao wasiludie ujinga ule wa 2015
Huyu kiongoz jini dikteta na katiri inakuaje huko mtaani Raia bado wanamlilia?Ilikuaje raia walizimia na wengine kufa kwenye msiba wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…