RIP MagufuliBila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jomboBila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Hakika Eltwege mfuasi wa kudumu wa jiweBila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Kwa nini aliua upinzani bungeni?Huo ndo ukweli mchungu Magufuli alikuja kufungua bongo za watu wengi sana
Ulifutwa na mungu wako jiweKwani sasa hivi upinzani bungeni upo?
Dk Nchimbi yuko wapi?
Mpelekeni mwamposa akamfufue mungu wenu wa kuchonga,muuaji, dikteta,Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
ok.Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Hakika japo watakupingaBila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata Samia angekuwa anaitwa mama wa huruma wa taifa.
Ujio wa Magufuli ndio ulioweka hadharani uwezo wa kuongoza na uzalendo wa akina Nape, January, Prof Muhongo, Zito Kabwe na wengine wengi kwamba hawana uzalendo wowote na nchi hii na wanachojali ni kupiga dili kwa masilahi yao binafsi.
Bila Magufuli kuwa Rais huenda ccm mtandao wangeendelea kunufaika na Freeman Mbowe kwa miaka mingi ijayo maana wengi waliaminishwa ni mpigania haki na mzalendo wa kwelikweli.
Kwa ufupi nyeti za ccm mtandao ziko hadharani na unasubiriwa muda kidogo tu wagawane mbao.
Kwa sababu walikuwa wakimpinga kwenye mambo ambayo alikuwa anajua fika nchi inachezewa.Kwa nini aliua upinzani bungeni?
Pia Magufuli ni muasisi wa kujenga flyover ambazo mmeacha kujenga lakini utekaji hamuachi kenge nyieMAGUFULI muasisi wa KUTEKANA kuuwana kununu WABUNGE wa upinzani kwa pesa za walipa Kodi akishilijiana na yule babu kijana polepole RIP