Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.