CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

Pole sana. Lowassa angeona hili bandiko lako angekutafuta na kukuchapa kofi.#usichezenasirikari
 
Wewe Tindo unaongea ki- visasi zaidi ya uhalisia!

Anaweza asiwe na nguvu kwako na Chadema yenu!

Bashiru wa ile CUF sio huyu wa leo!

This is another Bash-Law!

Lakini kwa CCM wanajua nguvu yake!
Ni Bashiru pekee anayejua wezi wote na uizi wao wote ndani na nje ya CCM!

Bashiru nje ya CCM kwa sasa ni hatari kuliko akiwa ndani ya CCM hiyohiyo!

Ni Bashiru pekee aliyezunguka nchi nzima kuratibu mali za CCM na kuzirudisha zile ambazo walikwishapora hao mnaowaita Makada na mimi nikiwaita "Makuda" wa chama!

Ni Bashiru huyohuyo aliezunguka nchi nzima na kuratibu uchaguzi uliowaweka madarakani 2020!

Je!
Kwa mtu timamu unayeelewa siasa,kwako huyo mtu ni wa kupuuzwa!

Je!
Wadhani Bashiru amekurupuka ovyo bila kuwa na kitu behind the scenes?

Mbona hujiulizi imekuwaje Ndugai na Bashiru wote wana trend at the same Period?

Tena wote wakiwa hapohapo Dodoma?

Vitu vingine kama huvielewi ni vema ukaviacha kushoto.
Sio kila mmoja mnambebesha hasira zenu za "kijiwe".
Sasa unazani anaweza kua na nguvu KULIKO hao wezi?.. sawa awaweke hadharani kua flan na flani wamekwiba Halafu next?.. kumbuka Ni Tanzania sio USA!.. hata akizijua Siri na akaweka wazi business as usual tutapiga story hiyo week mbili ngoma inalala
 
Sasa unazani anaweza kua na nguvu KULIKO hao wezi?.. sawa awaweke hadharani kua flan na flani wamekwiba Halafu next?.. kumbuka Ni Tanzania sio USA!.. hata akizijua Siri na akaweka wazi business as usual tutapiga story hiyo week mbili ngoma inalala
Hakuna sehemu yoyote amezungumzia wezi....yeye amezungumzia mifumo ya Maisha ya wanadamu na hata wanyama ambayo ni nature
 
Siasa zetu ni za kinyumbu zaidi, hazitabiriki kwa sababu aliye mbele akielekea kwenye mto wenye mkondo Kasi, au mamba wengi wote wanafuata na kujitumbukiza huko.
Wenye kufikiria kwa ajili yao na kundi (taifa) zima ni wachache sana.
Bahati mbaya zaidi, viongozi hawatafuti wenye akili ya kupingana na huo unyumbu, wanapendelea wenye unyumbu zaidi.
Hii ni changamoto kubwa sana
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Bashiru ni mnafiki tu na mchumia tumbo hana lolote la kuwaambia Watanzania!!

Mtu aliyeshindwa kutetea katiba ya Watanzania na kufanya uchaguzi wa kihuni tena akatamba kwenye majukwaa kwamba hata kama wakishindwa kwenye sanduku la kura atatumia dola kuingia madarakani!! Hana lolote huyu mwimba kwaya tu!!

Angekuwa kiongozi mzuri kipindi yupo kwenye ngazi za maamuzi angetetea tupate katiba nzuri inayoweza kuwajibisha viongozi!!

Ukisikiliza wanafiki unakuwa unajipotezea muda wako tu. Akalee wajukuu tunahitaji viongozi wa kweli na wenye uchungu wa kweli na Watanzania!! Period!!
Kama ulivyomnafiki wewe

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Rais = Bashiru
W/ Mkuu = Makonda
Waziri m/ndani = Sabaya

Hiyo ni nchi tena au Sobibo camp.
Tuacheni utani huu UHURU tulionao chini ya uongozi wa Mama Samia tutaukumbuka sana. Tuiombee nchi yetu pamoja na Rais wetu hao wasaka madaraka waliojaa chuki mioyoni mwao tuwaogope kama ukoma
 
Rais = Bashiru
W/ Mkuu = Makonda
Waziri m/ndani = Sabaya

Hiyo ni nchi tena au Sobibo camp.
Tuacheni utani huu UHURU tulionao chini ya uongozi wa Mama Samia tutaukumbuka sana. Tuiombee nchi yetu pamoja na Rais wetu hao wasaka madaraka waliojaa chuki mioyoni mwao tuwaogope kama ukoma
Namba ya simu ???
 
Hahahaaa!! Zama zake zimekwisha. Yuko kama mandonga
 
Bashiru ndio 'system' yenyewe. Jaribu na wewe kwenda kuongea na kundi lolote la kijamii kwa namna alivyofanya Bashiru juzi uone kama utarudi kuchati hapa JamiiForums
Nan kakudanganya ww 😂😂 CCM wanajuana pia wanaangalia nn umefanya au nn umesema juu ya utawala but kama haina madhara kwao utaonywa na ukae kwa kutulia lkn ukijidai kichwa ngumu lazima ile kwako tu!! Au uombe msamaha refer wazee wetu mamvi, yule wa manyara
 
Back
Top Bottom