PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Bwana Bashiru. Ana Heshimika na Atazidi kuheshimika sana. Maana ufanisi wa SERIKALI ya Awamu ya Tano Ulionekana hata na kipofu.
Huyu ni Mjamaa kindaki ndaki. Tunaanza kupata mashaka kwa Nini Halipochaguliwa kama Katibu kiongozi ndio Magufuli Akafariki?
Hapa kuna kitu kimejificha sana. Eidha kuna watu walijua kabisa michezo yao ndio imefika mwisho maana tuliona Impact Yake ndani ya CCM kama Katibu MKUU.

Bashiru aliekua na heshima ni yule wa enzi akiwa mkufuzi pale chuo kikuu!!
Bashiru akajiharibu alipopewa madaraka na mzila kende,akavimbirwa kwa kula na mikono na miguu huku akiwatapikia watu mabaki ya shibe take.
Kauli zake za ulevi wa madaraka zinatosha kumfanya kibaraka huko CCM na kuufyata!!